Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinu hii imetumika hata kwenye Mafuta, hii bei tunayouziwa sasa ndiyo ilikuwa target yao, walipandisha mpaka yakakaribia kufika sh 4000, watu wakalalamika sana. then wamerudi kwenye target yao.Yuko sahihi, ni sawa na mfanyabiashara anayeweka cha juu ili ukija kulia akupunguzie bei bado usishuke chini ya target yake, muhimu ijulikane hicho kilichopatikana hapo hata kama kidogo, bado hakikutegemewa kupatikana.
Hii ilihusu makinikia yaliyohamishwa toka miaka ya nyuma. Unakokotoa kwa kutumia base ipi wakati kabla ya Magufuli hata TRA hawakuruhusiwa kujua yale makasha yalikuwa yamepakia nini?Kwa kawaida kodi hukokotolewa (calculated) sasa cha juu inawekwaje kwenye calculation?! Siyo kama bei ya duka la Mangi ambapo bei hutamkwa tu.
Mkuu, kuna uzi nimefungua kueleza nilivyoshindwa kufika interview. Upo hoja na habari mchanganyiko, japo kwa ilipo hadi sasa unaweza usielewe, lakini nitauendeleza usiku.Alfu unajuwa nn proof [emoji23] muda siyo mrefu nilikukumbuka San kuhusu swala lako la interview je ulifanikiwa kufika jijin dsm ama uko geita Bado kwako prof
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wewe kweli ni mbwa mwitu kabisa. Unaweza ku-negoshieti yai la 500 kwa 500,000,000 na still ukajiona mwamba hata kama mwisho utaliuza 1000?Wenye akili walimwelewa na hadi sasa wanamwelewa kabudi. Wajinga ndio hawaelewi.
Kuna kitu 'mbinu za majadiliano' kwa wale lazima kitu kielezwe kwa kingereza ndio wakubali kuna fani..negotiation skills, strategy etc, etc. Nendeni mkamueleze huyo kichaa lissu aliyediriki hadi kumdharau mwalimu wake wa sheria chuo kikuu Prof Kabudi.
Yale macho alivyokuwa anayatoa na mimate yake inayoruka kama mvua,vilisababisha TV yangu kupata hitilafu ya kioo kuweka ukungu.Alivyokuwa anatoa macho kwenye TV zetu alikuwa anatuhubiria ujinga tu, hovyo kabisa.
Thibitisha kama kweli tumelipwa hizi $300 mil na kama kweli tunamiliki 16% ya shares za Açcacia na kama kweli tuna manage hiyo kampuni. Isijekuwa yalikuwa maneno matamu ya kutuhadaa 'waswahili'. Si unajua tena sie si wadadisi wa mambo hasa yakisemwa na wakubwa.I agree, 360 trillions Tshs ilikuwa mbinu za majadiliano, ili waweze kupata walicho plan kwenye majadiliano yale, kumbuka Barrick Gold yale ni mabeberu haswa ya dunia hii, yaani majambazi makuu, sasa mbinu za majadiliano lazima ziwe kubwa mno.
Mie pia nilijua tu Barrick hawawezi lipa tshs 360 tril. Ila badala yake tulipata kishika uchumba $ 300 mil plus tumepata 16% ya Acacia shares (umiliki), pia watu wetu wako ktk management ya Acacia, bado udhibiti umekuwa mkubwa sana sasa hivi..
Walau tumepata kitu kikubwa, nakubaliana na Prof. Kabudi, though ana umaskini wa akili na mali, he has intellectual arrogance kubwa sana Prof . huyu.
Mwanasiasa ambaye hata genge la nyanya hana, anaweza kweli kusimamia miradi complex ya kimataifa ? Eskom needs to have someone like Gayton McKenzie on its newly-constituted board to deal with the various mafia elements that have become part of its operational existence. This was the sentiment expressed by billionaire businessman Rob Hersov. He recently attracted public attention when he slammed the ANC government, describing it as full of incompetents and criminal elements, describing President Cyril Ramaphosa as spineless and useless. He says they are responsible for presiding over a declining economy. I caught up with the businessman. We discussed a myriad of issues, like the energy crisis and possible resolutions to it, black economic empowerment, and what South Africa needs to do to position its economy for the future. We started with the energy issue. Source : SABC Digital
Kwa hiyo Lissu alikuwa sahihi kusema "rubbish"???
Tukiwambia tuna viongozi waajabu Sana...kiongozi unadanvanya Sana
Kutoka trillion 360 mpaka bilioni 700! Hakyamama tumeonekana vilaza namba 1 duniani
Hiyo ndiyo inaitwa "machinga mentality" iko Tanzania zaidi kama ile ya "mitumba mentality". Machinga wanakupangia bei kwa kutazama sura yako mnunuzi, pia wanafanya na wewe biashara kama vile hamtaonana tena. "Machinga mentality" kama ilivyo "mitumba mentality" inaendeshwa kwa mantiki ya "the lowest common denominator" kwenye jamii bila kujali inaathiri vipi ustawi wa maendeleo ya nchi ya muda mrefu ambao huwa unaendeshwa kwa mujibu wa "the highest common factor". Kama wasomi hawagundui tofauti hii na elimu yao pia inakuwa ya "Machinga and Mitumba Mentality" inataichukua Tanzania miaka si chini ya 30 kututoa hapa tulipo. Ndiyo maana mashujaa wetu sasa hivi ni watu waongo, wezi, wasanii, watu wa mipasho, waganga wa kienyeji na uozo kede kede uliopo. Itabidi aje Kiongozi kama malaika kuizindua Tanzania!!
Mkuu suala la kodi kumbambika lilikuwa la kawaida sana..
Kuna jamaa alikuwa kwenye Task force ya Magufuli.. walikuwa kwanza wanacheki salio kwenye account..
Baada ya hapo unaandikiwa barua na kodi kubwa sana....
Hapo wanatengeneza mazingira ya kula cha juu.. Huyo jamaa kwa wiki alikuwa hakosi million 5 cash.. Kanunua viwanja vingi maeneo mbalimbali...
Sikuhizi namuona mara chache ila anaishi kwa mshahara tuu... Lile tangazo la March 2021 lilimmaliza kabisa na task force ilikufa
Aliongelea Ikulu siyo bungeniHawezi fungiwa sababu kinachoongelewa bungeni huwa kina privilege,
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
JPM angetoka madarakani igefika siku angesema. Jambo kama lile wakat mwingine huwa linakereketa ulitoe sababu ya mengi yaliyojiri baada ya uongo wako.Angekwepo JPM angethubutu kusema hivyo au angeendelea na msimamo wake?
Ndiyo maana wanasema Mwanasiasa hatakiwi kuaminika, hata kama wakisema muda huu ni Giza jitahidi utoke nje kuhakiki
Unajua huyo Mzee amekiuka kiapo chake Cha Baraza la Mawaziri, hakutakiwa kusema hayo Kwa kuwa yangekuwa nje ya kiapo chake.JPM angetoka madarakani igefika siku angesema. Jambo kama lile wakat mwingine huwa linakereketa ulitoe sababu ya mengi yaliyojiri baada ya uongo wako.