#COVID19 Profesa Makubi: Serikali imeunda Kamati ya wataalamu kufuatilia masuala ya Chanjo ya Corona

Msimamo wetu wa awali ndio haswa tusimamie. Tusiyumbe!! Tafadhali!! Ni kweli kuna hatari lakini huku Afrika si kivile. Hii hatari inakuwa over rated! Tafadhali Sana Prof. Makubi!! Kuna clip nimeiona Dr mmoja wa ulaya anazilalamikia hizi chanjo huku akionyesha ushahidi wa watu wengi waliokufa muda mfupi baada ya chanjo!!
 
data ulizotoa ni nchi tano tu. na hizo nchi sio zenye watu wengi hapo europe.
ndio maana nikakwambia uliete statistics.. oh wamepokea wengi wengiwameachana nazo.. leta staticts zinazoonyesha.
 
Ingekuwa wakenya wamesema hayo tungekuwa bega kwa bega lkn tz aah watuache kwanza tunashuguli nyingi za kuvuna maindi kabla nzige hawajayaotea
 
Endeleeni na nyungu na malimao tu,naona corona imeshakua ugonjwa mkubwa kuliko hofu,watu wenyewe mnatembea na betri halafu mnaleta ubabe na corona!
 
Hatimaye sayansi yashinda!

Maendeleo ya kweli hayajawahi kuibagaza sayansi!
Unashangilia wakati huko zinakotoka wanasitisha matumizi baada ya kuanza kuwatoa roho?
Tumieni akiri.basi wakati mnachangia, pia muwe mnafuatilia taarifa za huko nje pia.

Denmark, Austria na kungine wamesitisha kuzichanja.
 
Hatimaye sayansi yashinda!

Maendeleo ya kweli hayajawahi kuibagaza sayansi!
Mnasikizaga na vyombo vya habari vya nje kweli? Wakati nchi kibao wanasitisha hizo chanjo ili zichunguzwe upya unaongea upuuzi so far duniani. Magufuli wa right and better than any president huwezi kimbilia chanjo kabla hujajua madhara yake in long run. Wenzako waliokimbilia sasa wanarudi kuanza utafiti upya na ni izo nchi zilizoendelea so saa nyingine kuliko kufanya maamuzi ya kukurupuka bora kusubiri kwanza usijejikuta unaua watu wengi zaidi kuliko ambavyo corona ingeua

for reference
 
Mwali keshalegea anatafuta pozi la kukubali tu ili asionekane malaya ...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ama kweli ukikubali kuolewa usilale na chupi maana muda wowote kinawaka
 
Kwanza korona ipo tz?
 
Sisi tuna wataalamu ambao viwango vyao ni vya juu zaidi kuliko wanaozitengeneza chanjo, sasa kuunda time ya kufuatilia chanjo ambayo tulikwisha ikataa iliyotengenezwa na watu wa viwango vya chini ni kupoteza pesa bure.
Nashauri watumie utaalamu wao kutengeneza chanjo ambayo nasi tutaweza kuiuza nchi za Ulaya na Marekani.
 
Si wakubali tu kuleta hiyo chanjo!!!

Wana utaalam gani wa kujua hizo chanjo kuwazidi WHO walioziidhinisha.

Hii inaitwa kukubali kwa aibu!!


Tushakosa mengi!!
 
Ina maana Kagame aliyechomwa jana hakujiridhisha? Ni dawa gani ambay haina side effect!? Na ukipima manufaa ya wanapata kinga na wakapona na ambao wanakufa, mizani inakua wapi na faida kubwa?
 
Sipati picha yale macho sasa wakati anaeleza hiyo statement..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…