mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Msimamo wetu wa awali ndio haswa tusimamie. Tusiyumbe!! Tafadhali!! Ni kweli kuna hatari lakini huku Afrika si kivile. Hii hatari inakuwa over rated! Tafadhali Sana Prof. Makubi!! Kuna clip nimeiona Dr mmoja wa ulaya anazilalamikia hizi chanjo huku akionyesha ushahidi wa watu wengi waliokufa muda mfupi baada ya chanjo!!