Lakini hujakataa kwamba pamoja na hao, wenye viwanda nao wamo au siyo?Siyo kweli. Wengi tu huagiza sukari Malawi na hawana viwanda.
Itapanda bei balaaWananchi mjiandae kutumia sukari guru maana hata sukari ya ndani itaadimika.
Sasa anasema uwezo mdogo sio kwamba soko hamna aoni ataumiza wananchi kwakumpanulisha kinguvu mwekezaji wa kiwanda?Sio kwamba sukari hamna ila tatizo linatengenezwa
Bashe ndo alikuwa wa kwanza kusema atajiuzuru kama vibali vitatolewa kuagiza sukari nje.Sijui kwanini Bashe huwa hapewi Uwaziri kamili.
Bashe sio Mkomunisti.Bashe ndo alikuwa wa kwanza kusema atajiuzuru kama vibali vitatolewa kuagiza sukari nje.
Bashe sio Mkomunisti.
Nafkiri ni muhimu Waziri kutoa kauli za namna hiyo,kwani aim ni viwanda viweze kupanuka na kumeet the target au kuproduce surplus, so hiyo ni challenge kwa viwanda kutekeleza azma ya serikali,sasa ulitaka waziri aongee soft words na kusema wazi kurahisisha upatikanaji wa vibali,sasa viwanda navyo si vitaendelea na business as usual,no expanssion no what.na katika kauli yake amesema sukari itaagizwa pale tu pakiwa na gap kati ya uzalishaji na demand, siyo wafanyabiashara tu wachache kwa tamaa zao kuagiza kiholela.mimi nimemuelewa hivyo, Mwendazake alishatufundisha tuwe strong katika kusimamia rasilimali na maslahi ya nchi na wananchi.Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi.
Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka wa kilimo 2019/2020.
Amesema kumekuwa na shinikizo toka kwa wafanyabiashara wanaokwenda kuisumbua Bodi ya Sukari kutaka kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi.
βUnajua sukari ni kama dawa za kulevya, ina hela nyingi na kila mtu anataka kufanya biashara hiyo. Kuna mwaziri wa kilimo wameondoka kwa sababu ya kutoa vibali vya sukari. Mimi sitoi ngβo,β amesema Profesa Mkenda.
Amesema pamoja na fitina zinazofanywa kutaka kutolewa vibali vya sukari kwake hatotekeleza hilo.
Profesa Mkenda amesema viwanda vya sukari kwa muda mrefu vimeshindwa kupanuka viwanda vyao kuongeza uzalishaji wa sukari kwa sababu ya sukari inayoagizwa kutoka nje.
Amesema Tanzania inaagiza sukari toka Malawi, Uganda na Zambia wakati miwa mingi inazalishwa Tanzania.
Profesa Mkenda amesema kila mwaka katika bonde la Kilombero inatupwa miwa tani 350,000 huku wakulima wa Mtibwa wakiacha kulima miwa kabisa kwa sababu viwanda vya sukari uwezo wake wa uzalishaji ni mdogo na miwa ni mingi.
Amesema Serikali iliamua kupitisha sheria kwamba uagizaji wa sukari utafanywa na wenye viwanda vya sukari nchini wanazalisha kuanzia tani 10,000 na kuendelea.
Profesa Mkenda amesema uagizaji holela wa sukari umesababisha ukosefu wa ajira, ukosefu wa kodi ya Serikali na wakulima kukosa soko la miwa.
MWANANCHI
langu jichoWaziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi.
Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka wa kilimo 2019/2020.
Amesema kumekuwa na shinikizo toka kwa wafanyabiashara wanaokwenda kuisumbua Bodi ya Sukari kutaka kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi.
βUnajua sukari ni kama dawa za kulevya, ina hela nyingi na kila mtu anataka kufanya biashara hiyo. Kuna mwaziri wa kilimo wameondoka kwa sababu ya kutoa vibali vya sukari. Mimi sitoi ngβo,β amesema Profesa Mkenda.
Amesema pamoja na fitina zinazofanywa kutaka kutolewa vibali vya sukari kwake hatotekeleza hilo.
Profesa Mkenda amesema viwanda vya sukari kwa muda mrefu vimeshindwa kupanuka viwanda vyao kuongeza uzalishaji wa sukari kwa sababu ya sukari inayoagizwa kutoka nje.
Amesema Tanzania inaagiza sukari toka Malawi, Uganda na Zambia wakati miwa mingi inazalishwa Tanzania.
Profesa Mkenda amesema kila mwaka katika bonde la Kilombero inatupwa miwa tani 350,000 huku wakulima wa Mtibwa wakiacha kulima miwa kabisa kwa sababu viwanda vya sukari uwezo wake wa uzalishaji ni mdogo na miwa ni mingi.
Amesema Serikali iliamua kupitisha sheria kwamba uagizaji wa sukari utafanywa na wenye viwanda vya sukari nchini wanazalisha kuanzia tani 10,000 na kuendelea.
Profesa Mkenda amesema uagizaji holela wa sukari umesababisha ukosefu wa ajira, ukosefu wa kodi ya Serikali na wakulima kukosa soko la miwa.
MWANANCHI
πππ Eti ni Upuuzi. Ajaribu kuliangalia hili au kauli ile kwa kutumia Professorial Eyes.Profesa kaambiwa Nonsense
Atatoa. Boss ameshasema it is nonsenseAtatoa tu bana wafanyabiashara watamuhujumu tu afukuzwe
Rais wa Tanzania haongozi masikini tu anaongoza pia matajiri tunaohitaji usafiri wa ndege.Nonsense