Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati


Nawe umelipwa Tsh ngapi Kumpinga tu?
 
Muda wa cv uneisha tunaanza na kupuyanga ili tuone huu upande nao.


Kama ni cv hata ya lipumba iko juu lakini kama taifa hatuzihitazi cv zisizo na maana

Huyu huyu kwenye mauzo ya gesi alikuwepo hakuongea chochote, leo tuko 50% ndio anapanua domo.

Kwa ridhaa yangu leo bila kushinikizwa na mtu nimeamua kua miongoni mwa watu watakao sugua goti hii nchi itoke mikononi mwa serikali ya ccm
 
Mabadiliko ya tabia nchi na uharibifu wa mazingira hauwezi kuiacha hiyo miradi ya maji salama. Tungewekeza kwenye wind na solar
Kabla ya kukosa umeme hayo mabadiliko yatafanya tukose fresh water...., kwahio kabla ya kukosa mwanga wa kuona huenda uhai utakuwa umetutoka...,

Anyway watu hawalali wanatafuta mbinu kwanza za kutunza hizo renewables (storage) will be the key
 
Ahaaaa, wewe utakuwa ni fisadi.
Hapana mimi ni mnyonge, bahati mbaya tu Rais wangu amedanja! Ila alichokuwa anasema Prof. Muhongo kurudisha gharama zilizotumika kwenye umeme wa maji huchukua muda mrefu kutokana na gharama kubwa ya miundombinu tofauti na umeme wa gesi!
 
Adui mkubwa sana wa umeme wa maji ni mazingira. Mvua zikigoma kunyesha na umeme hakuna. Kumbuka ule mkasa wa Richmond ulisababishwa na mabwawa ya maji ya kuzalisha umeme kukauka. Ni kweli umeme wa maji ni rahisi kuuzalisha lakini siyo wa uhakika kwa asilimia mia, hivyo kuwa na vyanzo vingine vya umeme ni muhimu.
 
Hakuna nch inatuapa umeme wa solar hata kwa asilimia 20 tu ya mahitaji
 
Kushawishiwa ni jambo moja na kukubali ushauri ni jambo jingine
Ameshapitisha vibali vya kazi vitolewa kama karanga, ameshaonesha yupo tayari mkataba wowote kwenye LNG Lindi, kwenye Hellium gas, unataka kuona nini kuwa ameshawishiwa ujinga na kukubali ?
 
Tatizo una deal ma mtu inatakiwa ku deal na jambo ao ndio wataalamu wa masuala ya umeme level ya kidunia
 
Kabla ya kukosa umeme hayo mabadiliko yatafanya tukose fresh water...., kwahio kabla ya kukosa mwanga wa kuona huenda uhai utakuwa umetutoka...,

Anyway watu hawalali wanatafuta mbinu kwanza za kutunza hizo renewables (storage) will be the key
Dunia nzima inaenda kwenye nuclear, gas na solar. Sisi bado tumegomea kwenye maji
 
Usisahau kumuuliza swali

Kinyerezi kuna mitambo ya umeme wa gas iliyojengwa wakati wa uwaziri wake, je imetupunguzia gharama kwa kiasi gani hadi sasa?
Mitambo mibovu kama nn. Uendeshaji wke ni wa gharama kuliko kawaida imagine spea unatafuta USA na haiwez fika kw wakat.
Muingo atulie tu aache uongo.
Toka aondolewe uwazir hajawai ongea kitu leoo ndioo anaibukaaa...
 
Kuita watu Tumbiri sio Prof.Mhongo.
Alikuwa ni Mwanasheria mkuu Jaji Werema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…