Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

Ukimsema vibaya magufuli watanzania milion 60 hatutawaelewa. Tanzania ilipo imefikishwa na mwanaume mmoja tu
 
Wakati anasema imepitwa na wakati China leo wameanza kujaza maji kwenye the second largest Hydropower Dam !
 
Hakuna professor muongo km professor muhongo.
 
wadau wameshaanza tathmini ya namna ya kupiga pesa za SGR, kama tiyari zilikuwa zishakusanywa kwaajili...

ya ujenzi kuna kaharufu ka kutaka kuzigawana ila kama bado anayo yasema ni kweli.
 

umetoa elimu kubwa sana kwa wasomi na washabiki wengi ambao hawakuwa nayo.

unakuta mtu mzima na elimu kubwa tu anajadili,eti umeme wa maji watu wanaukimbia,sijui ni nchi ngapi zina mito inayoangusha maji.
 
Huyu ni Professor Msomi ana hakika na anachokisema. Enzi hizo hakuweza au aliweza akatupwa kwenye Recycle Bin.
Professor msomi? Kwa hiyo mtu akiwa professor anakuwa na akili kushinda watu wote

Mkuu kipindi cha sakata la IPTL enzi za huyu jamaa ni waziri wa nishati Nina uhakika ulikuwa unalamba mafua..maana komenti yako inasikitisha sana

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 

Niliwahi kusema siku Magufuli anatoka madarakani, hasa iwapo huo mradi wa SG utakuwa haujakamilika utatekelezwa. Yale ambayo yalikuwa dhahiri kwangu yameanza kutokea.

Je ni kwanini niliwaza hayo? Kimsingi nilijua nchi hii haina sera wala mipango, bali kuna maslahi ya rais aliye madarakani na genge lake. Wakati vwa JK tuliimbishwa umeme wa Gas kama wendawazimu, na yakapigwa mashahiri yote. Tuliambiwa umeme wa gas ukikamilika tutakuwa na 5,000mg+. Cha ajabu wakati tukiimbishwa hayo mapambaio, Magufuli alikuwa waziri tena akawa anaunga mkono mradi ule. Alipoingia madarakani akaona hana maslahi binafsi na umeme wa gas. Akaona afanye mradi wa umeme kwa maji tuliokuwa tunaambiwa matatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Hii yote ni ili apate maslahi binafsi yeye na genge lake. Ndio hapo unasikia sijui taarifa ya upembuzi ni ya 1970 nk.

Sasa tuje kwenye ukweli, hivi unawezaje kuanzisha mradi mpya wa umeme ili kupata 2,115mg kwa 6.5t, unaacha umeme wa gas ambapo ungeweza kupata 5,000mg? Je angeweka 3t kwenye gas asingepata hizo 2,115mg, na 3.5t akiziweka kwenye viwanda?
 
Hata Ethiopia wanaojenga Bwawa kubwa la Umeme hapa Afrika nao wanapoteza muda??

Huko China na Ulaya bado wana Hydro Power Plant kubwa tu...nao vp wazijunje??

Acheni kuchotwa akili na WANASIASA MATUMBO
role model wetu Kama taifa kawhata Ethiopia??? Unataka tuige mifano kwa waliofeli kama sisi???

Its well kuongelea hydro power plants, hata marekani juzi wametangaza tender kwa wanazuoni wanaoweza kuleta ideas mpya jinsi ya kuendesha hizo hydro power plants katika technology mpya sisi ile yakwetu nasikia imetumika technology ya 1970 yaani we are 51 yrs back the current technology hafu tunawekeza around 10 trillions kweli???
 
Wakati anasema imepitwa na wakati China leo wameanza kujaza maji kwenye the second largest Hydropower Dam !

Umeme wa maji katika nchi baridi za kaskazini kama Niagara Falla USA, Yangtse China ni sahihi.


ila nchi za joto za tropiki ambazo wananchi wake wanaharibu mazingira kwa kuwa wengi ni wakulima wadogo na wachoma mkaa umeme wa kutegemea vyanzo vya maji pekee ni changamoto kubwa.
Hii ndiyo tofauti ya kijiografia na hali ya hewa inatakiwa kuzingatiwa kwa nchi za joto za tropiki kuwa na vyanzo mchanganyiko vya umeme yaani gesi ,maji ili kushinda upungufu wa nishati ikitokea ukame n.k
 
Magufuli was a failure !!! The wost president we ever have in our history!
 
Uyo sio tu professor mbali nimshauri mwandamizi ngazi ya dunia yaani top ten ya mabingwa Kwenye maswala ya NISHATI kwaio anachokiogea anaijua vizur
 

tukisitisha ujenzi wa hivyo vinu,ni mwanao ndiye atakuja kuona madhara ya kutokuwa na vyanzo vingi vya nishati.kwa sasa wewe unaangalia kitambi chako na akili yako scope hake mwisho ni kkutwa jion,zaidi ya hapo haioni kitu.

reli inajengwa iishi miaka zaidi ya 100,unazungumzia faida ndani ya miezi 3,kwani mnafikirije wenzetu mbona mko slow namna hii!!!!

tanzania inakua ndugu zangu,miaka 10 tu ijayo itakuwa na uhitaji wa kila kitu kwa ukubwa zaidi,iwe heri kwa tanzania mama asisitishe miladi kwa kuogopa kelele za watu kama nyinyi,ni hatari kwa taifa lijalo.

CAG ametumia pua yake na kipara,kutoa tathmini ya miladi,miladi yote inaonekana kuwa haina tija,ni kweli haina tija!!!au tumechoka kufikiri??
 
Muda utaongea!

Watanzania jiandaeni mambo ndio hayo yanarudi taratibu
 
KAtika yote aliyozungumza hili tu la umeme wa gesi ndo umeona ni jambo muhimu? Nilivyosikiliza sikusikia unachozndika hapa. Hiyo aliigusia tu! Naona kila muwekezaji ana msemaji nchini sasa! Hadi huku kwenye blogs. Tumewachoka na uzembe wenu!
 

Nimeipenda sana hii Elimu kubwa uliyoitoa hapa, mimi sio mtaalamu kabisa wa umeme na ninaheshimu sana elimu, lakini nina akili timamu. Sasa tuje kwenye uhalisia wa gharama za huo umeme maji. Kabla ya kuanza kutumia umeme wa mafuta mazito na gas, tulikuwa tunatumia umeme wa maji, mbona wakati huo umeme bado haukuwa rahisi? Kwenye nchi za Afrika mashariki bado sisi hatukuwa na bei ndogo ya gharama ya umeme. Sasa nikichukua hii elimu yako na ukweli huo wa bei, huoni kama unatuvuruga?
 
Haya sasa wale walioweka pasent zao kwenye ile mikataba ilipitishwa haraka haraka wanaibuka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…