Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masharti ya mganga na makafara ni mabaya sana. Halafu kila siku eti anadai anamwamini Mungu na kanisani kiti cha mbele...ushirikina mtupu.Boss wake aliyekuwa anaripoti kwake hajaweza kuhudhuria kutoa heshima za mwisho?
Hivi kuna kitu unaweza kumpa rafiki yako wa karibu aliyefariki zaidi ya kuhudhuria safari yake ya mwisho hapa duniani?Najiuliza yule bingwa wa maombi duani nzima yuko wapi?
Ataenda kuzika jamani. Sema leo kamiss kutoa heshima tu ila makaburini atakuwepo jamaHivi kuna kitu unaweza kumpa rafiki yako wa karibu aliyefariki zaidi ya kuhudhuria safari yake ya mwisho hapa duniani?
Masikini Kijazi hakujua kama mtu waliyeshibana na mwandani wake hivi anaweza kukacha msiba wake.
Pogba mhuni Sana aJiwe kajificha, kala kona teh teh teh!
Zenji hajaenda wala Dom hayupo
Labda yuko kwenye "handaki" lake kajikunyata tuli!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jiwe kajificha, kala kona teh teh teh!
Zenji hajaenda wala Dom hayupo
Labda yuko kwenye "handaki" lake kajikunyata tuli!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tuchukue tahadhari ya nini?Poleni watanzania wenzangu
Pole kwa rais John Pombe Magufuli kwa kumpoteza msaidizi wake
Sio rahisi kwake Mungu aendelee kutupa imani, tuchukue tahadhari na kumwomba sana yeye
tatizo vimafua vinapita na watuanachapa kazi,Yuko na wageni kusaini mikataba ya miradi ya kimkakati.Hakuna kitakacho lala. hv vimafua vinapita tu.
Jiwe linatuambia hakuna corona,msiba ukitokea haliendi kuzika,linajificha,Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM.
Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili.
Dr Kijazi rip atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe Tanga.
Tukio hili liko mubashara TBC
Maendeleo hayana vyama!
Unataka awepo zanzibar na dodoma wkt mmoja,?Kweli katibu wako mkuu anafariki unashindwa kwenda kumuaga??
Yupo Zanzibar?Unataka awepo zanzibar na dodoma wkt mmoja,?
Unataka awepo zanzibar na dodoma wkt mmoja,?
Kweli katibu wako mkuu anafariki unashindwa kwenda kumuaga??
Hivi waswahili nani alitutenda?? Yaani wote tunajua huyu ndugu yetu ametwaliwa kwa Covid....we all know...yet...we are exposing our people in the name of heshima za mwisho….Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM.
Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili.
Dr Kijazi (RIP) atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe, Tanga.
Tukio hili liko mubashara TBC
Maendeleo hayana vyama!