Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Atakwenda kwenye mazishi kumzikaKweli katibu wako mkuu anafariki unashindwa kwenda kumuaga??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakwenda kwenye mazishi kumzikaKweli katibu wako mkuu anafariki unashindwa kwenda kumuaga??
leo pale mgogoni getini kamweka Mwanajeshi ana bonge la bundukianachapa kazi,Yuko na wageni kusaini mikataba ya miradi ya kimkakati.Hakuna kitakacho lala. hv vimafua vinapita tu.
aibu imemkuta stone tangawizi. ukisikia nitoke vipi ndio leo.Kama yeye hajavaa ni kazi bure tu maana huu ugonjwa ni balaa.
Mzaha umeuona sasa....kipindi mlipokuwa mnashupaza mishipa hamkujua hatima itakuwa hivi.....SHAME!!unaongea ujinga mtupu.mnaleta mzaha Hadi Mambo ya muhimu.
Utajiju.Unataka awepo zanzibar na dodoma wkt mmoja,?
Magu kama Trump aisee.....
A Bad Omen for his presidency.
Pole yake.
Kama nauona uchaguzi mpya vileee....
Kama ule wa vijana wa jktTISS watakuwa "wamemfungia kabatini".
leo pale mgogoni getini kamweka Mwanajeshi ana bonge la bunduki
Mkuu Vaa Mask...Uchaguzi mpya kivipi mkuu
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Utajiju.
Mwenye kuleta mzaha ni yule asoenda mazishi. Alimtumbua Nchemba sababu mojawapo ikiwa ni kutoshiriki misiba. Mwenyewe ndio kabisa hakanyagi. Anakosekana wa kumtumbua!unaongea ujinga mtupu.mnaleta mzaha Hadi Mambo ya muhimu.
Mkuu Vaa Mask...
Mkuu usimkufulu Mungu Kuna siku utamwitajiNajiuliza yule bingwa wa maombi duani nzima yuko wapi?
Amemaanisha stone tangawizi wewe acha kupotosha.Mkuu usimkufulu Mungu Kuna siku utamwitaji
Eeeh EEEKweli katibu wako mkuu anafariki unashindwa kwenda kumuaga??
Hivi Jafo yuko wapi? Sijamsikia kabisa. Nyungu Season 3 wala haikupewa promo. Yaani yuko kimya kama maji mtungini😂😂😂😂Walikuwa wanadanganyana kuhusu nyungu, hata Jafo mzee wa episode ya nyungu sesion 3 ameshindwa kumuaga? Hapo ndio watajua ushirikina hauna nafasi mbele ya sayansi.
Kibonzo kinanichekesha mno. Mchoraji jasiri sana
Nasikia Trump chuma kilimchapa.. nao si wana Secrer Services.. Hii kitu inapenyaa tu na Joris Bonson wa U.K nae chuma kilipiga