Profesa Ndalichako aongoza viongozi na wananchi wa Dodoma kutoa heshima za mwisho kwa marehemu John Kijazi

Profesa Ndalichako aongoza viongozi na wananchi wa Dodoma kutoa heshima za mwisho kwa marehemu John Kijazi

Kama yeye hajavaa ni kazi bure tu maana huu ugonjwa ni balaa.
aibu imemkuta stone tangawizi. ukisikia nitoke vipi ndio leo.
anatokaje? maana akivaa barakoa atapinga kauli zake mwenyewe.. bila barakoa nayo ni risk. kazi anayo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
unaongea ujinga mtupu.mnaleta mzaha Hadi Mambo ya muhimu.
Mwenye kuleta mzaha ni yule asoenda mazishi. Alimtumbua Nchemba sababu mojawapo ikiwa ni kutoshiriki misiba. Mwenyewe ndio kabisa hakanyagi. Anakosekana wa kumtumbua!
 
Waziri amewaongoza watumishi wenzake, sio wananchi. Wananchi hawahitaji kuongozwa na mtu wa serikali kwenye mazishi.
 
Walikuwa wanadanganyana kuhusu nyungu, hata Jafo mzee wa episode ya nyungu sesion 3 ameshindwa kumuaga? Hapo ndio watajua ushirikina hauna nafasi mbele ya sayansi.
Hivi Jafo yuko wapi? Sijamsikia kabisa. Nyungu Season 3 wala haikupewa promo. Yaani yuko kimya kama maji mtungini😂😂😂😂
 
Nasikia Trump chuma kilimchapa.. nao si wana Secrer Services.. Hii kitu inapenyaa tu na Joris Bonson wa U.K nae chuma kilipiga
IMG_20200425_234804.jpg
 
Back
Top Bottom