mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
ndio maana huwa nasema,wanaharakati wengi hawana nia njema na jamii wanayodai kuisemea.wengi wana ajenda zao,either baada ya kununuliwa,au wanatafuta umaarufu kupitia jamii.Na wanasahau kuwa hiyo itaondoa ile hofu ya binti mwenyewe kujitunza ama kutumia njia za kuzuia mimba. Pia itaondoa hofu na wajibu wa mzazi/familia kumchunga binti ili afikishe educational mileage inayotakiwa. Hizi ni expected results.
Outcomes ni:
1. Ongezeko la mimba za utotoni; na
2. Ongezeko la maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) na HIV kwa mabinti wadogo.
Impact ni:
==> Jamii yenye idadi kubwa ya infected under-aged single mothers.
Kiuhalisia, hii barrier ya 'mimba' kwa binti kutoendelea na formal education system, inasaidia sana binti mwenyewe aogope ngono za mapema. Pia inaweka responsibility kwa wazazi/family kumchunga binti ili ahitimu shule.
Otherwise, itakuwa ni fungulia mbwa, na then afterwards itaonekana kana kwamba ngono ni haki ya msingi kwa binti aliyeko shule. Impact yake ni mbaya sana kwa jamii.
-Kaveli-
mtu anakwambia fimbo ni malezi ya kijiama kwa mtoto,anazungumza hivyo huku anajua kuna watoto wanakulia mbagala na mwananyamala kwa kopa,bila mzazi kuwa serious ni msiba kwa mtoto.
hili la mimba pia kuna watu wanataka waingize wengine mkenge kizembe tu,tunaandaa kizazi kipi ambacho mtoto hapitii usichana wake!!!
kizazi kipi ambacho mtoto anakua anamwona mama yake anamnyonyesha baada ya kuvua uniform??tunaandaa taifa la hovyo sana hapo baadae.