ukichunguza yanayopiga kelele hizo za kijinga humu yapo kwenye vipengere hivi hapa chini.
1,ni madada ambayo hayana familia wala hayana ratiba ya kuipata,either kwa uzembe au nje ya maamuzi yao.
2,maanaume ambayo hayana familia na hayana tumaini la kiuchumi ili kutulia na kuanzisha familia.
3,mamama yanayolea vibaya watoto,yanasukumwa kutoa michango hii ili kujiweka sehemu salama.
4,mababa mazima yanayorubuni na kula vitoto vya shule.
mzazi makini ambaye tayari ana familia,hawezi kubaliana na serikali ya prof kwa maamuzi hayo.hakuna kitu kinamuuma mzazi kama mtoto kukatisha masomo kwa ujauzito.maana mbali na shule tunaamini pia ni hujifungia njia zako za kimahusiano yaani ndoa.
kwingine familia masikini,unakuta mwanafunzi tu anatunzwa kwa tabu,akijazwa akajifungua,majukumu ya kumuwaza mwanae na shule ndio kabisaaa,hakuna kusoma hapo.
sijajua kwa wenzetu ulaya wamefanikiwaje kwenye hili,maana naona nyege za watoto nazo zinazingatiwa kama haki ya msingi na wanaharakati,sijui watoto wa kitasha hawawashwi??