Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

Hatujawahi kutumia akili vizuri;
. Mtoto wa kike anabakwa anapata mimba
Na shule anafukuzwa...tunamkomoa nani?
Kwanini asipewe nafasi kujutia makosa asome ajikwamue?

Hii ni sheria kandamizi iondolewearaka
Eti anabakwa!!? Pole..
 
Huyo mtoto wa kike anaporudi shule huyo mwanae anamlelea nani? Bibi au?

Swala ninaloliona hapa ni kinachotakiwa elimu isiwe lazima kwa mtoto anayetaka asome asiyertaka aache akazae au akaolewe au kuoa shule aachie wengine ambao bado wanaona umuhimu wa kutokuwa wazazi shule za misingi na sekondari

Nasema hivi kwa sababu kuna baadhi ya jamii hazitaki elimu wakiwemo waislamu,masai nk elimu kwa mtoto wa kike kwao ni ujinga tu tu hawashobokei sana. wao mtoto wa kike huoza wakiwa wadogo tu .Hivyo hii sheria ya kuzuia mtoto wa kike kupata mimba akiwa shule ni kikwazo kwao,Mtoto keshakomaa kwa nini asipate mimba? hATA UWAELEWESHE USIKU KUCHA WAGUMU kuelewewa

Dawa iamliwe tu kuwa kusoma ni hiari si jambo la lazima ili anayetaka kuoza akaoze huko tuachane na kulazimisha kuwa lazima mtoto asome.Kila mzee abebe mzigo wake basi anayetaka kusomesha asomeshe asiyretaka basi
 
Mimi nasema sheria ibadilishwe binti anayebeba mimba akiwa masomoni aende jela miezi 6, unless it is proven amebakwa. Lakini, hata hivyo elimu itolewe kwa vijana na wazazi - hususani vijijini, pindi binti akibakwa awahishwe hospitalini kupewa vidonge vya kujikinga na mimba na maradhi ya zinaa. Hili bado ni tatizo pia.
 
Toa suluisho, sio lawama
Hiyo ni ngumu kidogo. Tuseme serikali inaratibu na kugharamia ndoa za hawa wasichana wahanga. Si itaonekana wagharamie pie ndoa za wavulana, ili kutenda haki? But seriously, siyo haki kusitisha masomo kwa msichana kisa amepata ujauzito. Huo ni unyanyasaji uliopitiliza. Mindset aina hii ni za kibaguzi, kiume na kibinafsi
 
Nisaidie: sheria inazuia kumpa mimba au kufanya ngono na mwanafunzi? Mwenye uwezo wa kuzuia mimba ni mwanamke, inakuwaje wanakubali kupata mimba? Wabakaji wahukumiwe, hawa wasichana vihele hele wanao wakonyeza wanaume wapewe lift na hela za chips wachukuliwe ni wabakaji.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ahahahah hizi akili za Magufuli kabisa😅😅😅
 
1. MEMKWA (COBET program)
2. Q.T
3. EWW (Elimu ya Watu Wazima)

Those above mentioned alternative educational channels are in place na zinafunction.

Watu wanafika mpaka Chuo kikuu kwa alternatives hizo.

Hizo alternatives zinatosha kabisa kwa wale wanafunzi wote waliopata mimba au kukosa elimu kwa sababu nyingine yoyote ile. Ni suala tu la Serikali kuboresha implementation ya hizo alternatives.

Hao wahisani (WB) wao walete mpunga. Ila I highly trust kwamba Serikali haitotoka nje ya hiyo baseline.

-Kaveli-
 
MATAGA utawasikia "Oyeeeeee serikali ndio hii, Mabinti zetu lazima wasome" hii ni 2021

Lakini somewhere 2016-2017 " Oyeeee huyu ndio raisi, hatuwezi kusomesha Malaya, watawafunza watoto wetu umalaya, Hapa tumepata Raisi'

Shenzi kabisa
mbona unaweweseka,ulizalia shuleni kwani??
 
Hii si sawa kulingana na kizazi tulichonacho,km ni mpango uwe mpango haswa,vngnevyo hii issue itaharibu wanafunzi kwani inawafanya wasiwe na cha kupoteza,u boyfrend na u girlfrend utatamalaki mashuleni...
acha wakoboand mpaka kieleweke.

cha kuboresha hapo ni kuondoa adhabu wa wat#mbaji tu,maana mtoto ana haki ya malezi ya wazazi wote[emoji23][emoji23][emoji23].

awiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kuna wakati inabidi kama wazazi na jamii tuache siasa kwenye malezi na kuwa wakweli japo maumivu yapo.

Ukweli ni kwamba binti akipata mimba ameingia rasmi kwenye jukumu zito la malezi.

Wakati tunaangalia haki ya huyu binti kuendelea na masomo tuangalie pia haki ya hiki kiumbe alichokileta duniani haswa katika umri mdogo kabisa ambapo anamhitaji mama zaidi ya kitu chochote kile

Sijasema mtoto akipata mimba asisome tena ila kuna hata ya kiwepo kwa sheria za kumlinda mimba ikiwa tumboni na kumlinda mtoto anayezaliwa pia. Tusimwangalie aliyepo tukamsahau na kumnyima haki anayekuja.... hao wote ni watoto ila katika rika na uhitaji tofauti

Tuwaambie watoto wetu kuzaa ni jukumu zito ili wajue kwamba ni bora kusubiri wamalize masomo
ukichunguza yanayopiga kelele hizo za kijinga humu yapo kwenye vipengere hivi hapa chini.

1,ni madada ambayo hayana familia wala hayana ratiba ya kuipata,either kwa uzembe au nje ya maamuzi yao.

2,maanaume ambayo hayana familia na hayana tumaini la kiuchumi ili kutulia na kuanzisha familia.

3,mamama yanayolea vibaya watoto,yanasukumwa kutoa michango hii ili kujiweka sehemu salama.

4,mababa mazima yanayorubuni na kula vitoto vya shule.

mzazi makini ambaye tayari ana familia,hawezi kubaliana na serikali ya prof kwa maamuzi hayo.hakuna kitu kinamuuma mzazi kama mtoto kukatisha masomo kwa ujauzito.maana mbali na shule tunaamini pia ni hujifungia njia zako za kimahusiano yaani ndoa.
kwingine familia masikini,unakuta mwanafunzi tu anatunzwa kwa tabu,akijazwa akajifungua,majukumu ya kumuwaza mwanae na shule ndio kabisaaa,hakuna kusoma hapo.

sijajua kwa wenzetu ulaya wamefanikiwaje kwenye hili,maana naona nyege za watoto nazo zinazingatiwa kama haki ya msingi na wanaharakati,sijui watoto wa kitasha hawawashwi??
 
Tafsiri yako ni potofu. Kusema waliopata mimba waendelee na masomo siyo sawa na kusema "sasa sio ishu kumbebesha mimba mwanafunzi maana atasoma tu." Wanafunzi wanapata mimba katika mazingira tofautitofauti: kuna wanaobakwa na kupata mimba, kuna walio katika uhusiano na wanfunzi wenzao au walimu na kuna wanaolazimishwa mapenzi ili wafaulu masomo au kuendelea na masomo.
tunatoa maamuzi kutokana na madhara mkuu.yaani ukihalalisha kwa sababu ya wanaobakwa ambao hata 1% haifiki umesaidia maharamia 97% kuendelea kula maisha.

ukitembea na mwanafunzi under 18 una adhabu yako,kama umembaka pia kuna adhabu yako.
lengo ni kutoa adhabu kwa kuzingatia haki za pande zote.

kwa kuwa mmataka haki hiyo,tutaanzisha na harakati za haki ya malezi ya pande zote mbili kwa mtoto aliezaliwa,hivyo marufuku mkatikaji kufungwa.ili tuifurahishe kabisa jumuia ya kimataifa.
 
Hao ni wazazi wasubili watoto wakue wasomeshe,huo utaratibu ulisaidia kuwaushepu watoto wa kike na vishawishi vya kingono ili wamalize masomo yao vizuri kwani binti anapopata ujauzito ni masikitiko na fedheha kubwa kwa mzazi,njia mbadala ni kupatiwa ujuzi kama wa veta basi.
 
Wanawake wanabebwa na sheria lukuki, wanaume wanasulubiwa na sheria rundo.
Je nini ufanisi wa ile sheria ya 30 yrs kwa wanaofanya ngono na vitoto (wanafunzi)??
Mike kwa Mkuu wa Magereza please! Je takwimu za wafungwa waliooa under 18 zipoje?
Anyway! Huu mchezo hauhitaji hasira. Karibuni wafadhili. Activists hoyee!!
 
ukichunguza yanayopiga kelele hizo za kijinga humu yapo kwenye vipengere hivi hapa chini.

1,ni madada ambayo hayana familia wala hayana ratiba ya kuipata,either kwa uzembe au nje ya maamuzi yao.

2,maanaume ambayo hayana familia na hayana tumaini la kiuchumi ili kutulia na kuanzisha familia.

3,mamama yanayolea vibaya watoto,yanasukumwa kutoa michango hii ili kujiweka sehemu salama.

4,mababa mazima yanayorubuni na kula vitoto vya shule.

mzazi makini ambaye tayari ana familia,hawezi kubaliana na serikali ya prof kwa maamuzi hayo.hakuna kitu kinamuuma mzazi kama mtoto kukatisha masomo kwa ujauzito.maana mbali na shule tunaamini pia ni hujifungia njia zako za kimahusiano yaani ndoa.
kwingine familia masikini,unakuta mwanafunzi tu anatunzwa kwa tabu,akijazwa akajifungua,majukumu ya kumuwaza mwanae na shule ndio kabisaaa,hakuna kusoma hapo.

sijajua kwa wenzetu ulaya wamefanikiwaje kwenye hili,maana naona nyege za watoto nazo zinazingatiwa kama haki ya msingi na wanaharakati,sijui watoto wa kitasha hawawashwi??

Mkorinto natamani wale watetezi wanaotaka watoto wao wazae halafu watelekeze vichanga na kurudi shule wakuelewe🙏

Huwa sielewi kama wanajiwekaga kwenye nafasi ya wazazi wa hawa watoto wanaozaa wakiwa shule
 
ukichunguza yanayopiga kelele hizo za kijinga humu yapo kwenye vipengere hivi hapa chini.

1,ni madada ambayo hayana familia wala hayana ratiba ya kuipata,either kwa uzembe au nje ya maamuzi yao.

2,maanaume ambayo hayana familia na hayana tumaini la kiuchumi ili kutulia na kuanzisha familia.

3,mamama yanayolea vibaya watoto,yanasukumwa kutoa michango hii ili kujiweka sehemu salama.

4,mababa mazima yanayorubuni na kula vitoto vya shule.

mzazi makini ambaye tayari ana familia,hawezi kubaliana na serikali ya prof kwa maamuzi hayo.hakuna kitu kinamuuma mzazi kama mtoto kukatisha masomo kwa ujauzito.maana mbali na shule tunaamini pia ni hujifungia njia zako za kimahusiano yaani ndoa.
kwingine familia masikini,unakuta mwanafunzi tu anatunzwa kwa tabu,akijazwa akajifungua,majukumu ya kumuwaza mwanae na shule ndio kabisaaa,hakuna kusoma hapo.

sijajua kwa wenzetu ulaya wamefanikiwaje kwenye hili,maana naona nyege za watoto nazo zinazingatiwa kama haki ya msingi na wanaharakati,sijui watoto wa kitasha hawawashwi??

Na wanasahau kuwa hiyo itaondoa ile hofu ya binti mwenyewe kujitunza ama kutumia njia za kuzuia mimba. Pia itaondoa hofu na wajibu wa mzazi/familia kumchunga binti ili afikishe educational mileage inayotakiwa. Hizi ni expected results.

Outcomes ni:

1. Ongezeko la mimba za utotoni; na

2. Ongezeko la maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) na HIV kwa mabinti wadogo.

Impact ni:

==> Jamii yenye idadi kubwa ya infected under-aged single mothers.

Kiuhalisia, hii barrier ya 'mimba' kwa binti kutoendelea na formal education system, inasaidia sana binti mwenyewe aogope ngono za mapema. Pia inaweka responsibility kwa wazazi/family kumchunga binti ili ahitimu shule.

Otherwise, itakuwa ni fungulia mbwa, na then afterwards itaonekana kana kwamba ngono ni haki ya msingi kwa binti aliyeko shule. Impact yake ni mbaya sana kwa jamii.

Serikali ibakie kwenye zile zile alternative educational systems zilizopo kwa watoto waliodrop-out of school due to pregnancy and/or other factors, ambazo ni MEMKWA, QT, na EWW.

Deterrent mode for pupils' pregnancy ni muhimu sana kwa kizazi hiki cha sasa kinachopromote sana ngono kuliko maisha wala future.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom