Pia hii ni aibu kwa bunge. Lina jidhalilisha. Tangu mwanzo bunge limejidhalilisha na linaendelea kuonyesha udhaifu wa hali ya. JuuHatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge.
Prof. Safari anasema hawa watu wanapaswa kukamatwa kwa kudharau uamuzi wa Mahakama
Chanzo: Gazeti la Raia Mwema, Ijumaa 24 June 2022View attachment 2270268
Hataki kujifunza kwa mtangulizi wakeKiburi cha Tulia siku likimpasukia wanaomtuma watamwacha pekeyake
Covid-19 kirusi kibaya Sana kuwahi kutokeaHv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Wawepo lakini wasitumie jina la Chadema kwani tumeshawafuta uanachama.Hv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Akamatwe kwanza Spika fakeHatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge.
Prof. Safari anasema hawa watu wanapaswa kukamatwa kwa kudharau uamuzi wa Mahakama
Chanzo: Gazeti la Raia Mwema, Ijumaa 24 June 2022View attachment 2270268
Anadharau sn huyu bibiKiburi cha Tulia siku likimpasukia wanaomtuma watamwacha pekeyake
Huyo anamtetea mpare mwenzake HalimaKwa jinsi unavyo shupalia issue hii, sina shaka we' ni mmoja wapo wa hawa COVID 19. Hivyo mlivyokwisha kula, vinatosha! Na sina shaka, kuondoka kwa MWENDAZAKE, ninyi mliumia/ mnaumia kuliko hata MAMA JANETH!
Huyu njiti ana dharau sanaπππView attachment 2270301
Certified imbecileSasa mbona mahakama haijawafukuza ubunge?
Wao walikwenda kupinga kufukuzwa uanachama wa chadema sio ubunge wa viti maalum
Hv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Ndugu,Hv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Nchi haiendeshwi kibwege inaendeshwa kwa KatibaHv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Nyie ni malimbukeni yaani ujitoa mlichosoma shule huwezi hata kuvuka barabara kwani hukumu imetokaje kama una akili kweli? Hapo kwa taarifa yako shauri limetupiliwa mbali kwakuwa kina makosa kisheria Wana muda wa siku kumi na nne kurekebisha na kurudi kwenda kuendelea na shauri ccm Ina Wana Sheria wabobevu Kila kinachofanyika wanajuwa sasa wewe ni nani wa kutaka wasiingie bungeni?Kiburi cha Tulia siku likimpasukia wanaomtuma watamwacha pekeyake
Huyo katiba mngekuwa mnaijua mngeanzua kwanza kwenye hiyo saccos ya mbowe chadema hii ya nchi Iko level ya juu sana kwenu hamuiwezi mnawivu wa kijinga sana hamuoni ya kuzunguzmza mmkekalia kina halima na kesi inarudiahwa haikaisha makosa yanarekebishwa kesi inaendelea na ndiyo maana wanaendekea kuingia bungeniNchi haiendeshwi kibwege inaendeshwa kwa Katiba
Mbio za sakafuni karibia kabisa zinamfikisha ukingoniπππView attachment 2270301
Awamu ya tano ndio iliwatengeneza kwa wingi matakataka wa aina hiyo. Taifa lina kazi pevu kuyasafisha.Hizi ndio akili za wachovu wa hili taifa.
Yaani hapo hamna wakili mnamoiga dili tu kibatala Hana chochote kumbuka kesi ya gaidi mbowe alivyokuwa hajui Sheria Kila pingamizi anakoweka anakwama hivi nyie chadema mpaka muambiweje ndiyo muamini kibatala ndiyo angemsababishi mbowe kufungwa maisha kama siyo zitto na she mkuu kumuombea kwa mama amuachie?