Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

Sio tu kuwa ni ni sekta bina bali ni watu wenye historia mbaya kwa kuwaibia watanzania kupitia kampuni zao
 
Inafikirisha pasipo kuwa na jibu, how this happened??? Mtu aliye na direct interest to be in such a position??

Kweli hili halikuonekana??

Haya mambo ukiyawaza sana unaweza pata stroke,
Maama sijiu kama anafikiria kwa kweli yaan kwenye kufanya appointment utafikiri anafunga macho na kuchagua basi tu mwenye kupata anapata
 
Magufuli alikuwa shetani ameondoka na damu nyingi sana za watu adhabu yake anatakiwa maiti yake imwagiwe tindikali au ichomwe na gesi ipotee kabisa kwa ardhi ya nchi hii.
Majizi yote kama haya yaliyoteuliwa ,,yaliwahi kuuza TTCL na hera zake zikaanzisha celtel ambapo baadaye jamaaa akaenda kuwa ceo wa celtel na ttcl unqkufa kifo cha mende..hao wauawe tu hata mimi nigewauq tu..so kulqlqmika kwako hakusaidii..kwanza magufuri alitqkiwa kiwapoga shaba majizi yote
 
Mungu fundi anajuwa Haki iko wapi ndo maana akamuondoa jiwe fasta
 
Damu za majambazi/mafisadi na wagonjwa waliokufa kwa kukosa kufanyiwa operation kisa mgao wa umeme zipi nyingi…
Umesahau na watu wa vyeti fyeki .ndo huwa mara nyingi wanamtusi sana hayati maana wanataka kula bila jasho
 
Rex attorneys ilishakufa , mama ana firm kwa sasa inaitwa ENS Africa.
 
Thanx
 
Kama ndio msomi mzima unajenga hoja dhaifu kama ivi na unajiita msomi ,nakushauri kaanze kusoma upya
 
Mbona ilishawahi kutokea hapohapo Tanesco? Kuna Bosi mmoja make wake ndiye aliyekuwa anapewa Tender mbalimbali hapo kwenye Shirika. Na ilifanyiwa kazi. Hii inaitwa "Conflict of interest". Ni kosa kubwa. Ni sawa na Uhujumu uchumi.
Oh!
 
Kama ndio msomi mzima unajenga hoja dhaifu kama ivi na unajiita msomi ,nakushauri kaanze kusoma upya
Sijawahi kujitangaza msomi ndugu, na sijafanya hivyo sababu sina elimu yenyewe kiukweli. Hapa, na ukosefu wangu wa elimu, nitabaki nakushangaa tu msomi wewe unayeshindwa kumuelewa mtu anayesema, 'naomba nielimishwe'. Huoni utaleta mashaka kwa watu kuwa pengine na wewe hamna kitu ndo maana umekimbilia huko matusini kujificha?!!
 
Wewe ni kati ya watu wengi ambao hawakuelewa Professor alichosema. Kwa kifipi ni kuwa hakukataa katiba mpya ila alitoa tahadhari. Nimesikitika sana umemshambulia wakati hana kosa lolote. Kwa kifupi jua kwamba CCM kwa sasa (soma Msoga gang) wanatumia udhaifu wa watanzania kutotaka kusoma na kutafakari mambo kwa kina kuposha alichosema Pr. Shivji.
 
Si sahihi kuilinganisha tz na marekani.wenzetu wako so defined lkn hapa kwetu kila mtu anawaza kupiga.ni sahihi Kama mtu ana interest na shirika unampaje ubodi member?
 
Katiba haiwezi beba kila kitu mkuu kila siku katiba katiba
 
Msoga gang ni kirusi hatari kama watanzania wasipotafakari kwa kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…