Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

Mleta Mada!..... UMMA ni nini?

Humo kwenye Umma kuna mchanganyiko wa wafanyakazi na wafanya biashara pia!! hata hao wafanya kazi wa umma siku hizi ni wafanya biashara pia!! wakulima ni wafanyabiashara pia kupitia mazao yao!!

mfano unapokula chips za mkulima palee! Masangati unalipia kila, mlo? ivoivo na kwa mazao mengine pia je huo siyo umma wa wafanya biashara?

unamnunukuu Huyo mzee kizembe na siasa zake ni za zamani sana! wkt wa enzi hizo babu zetu hawaku soma! ...... Kampuni ya Tanesco ni ya Umma pia inafanya biashara!! sasa kwa nini usiweke wananchi wenye maono ya kibiashara? kinyume na hapo ni ubaguzi?

Siyo kila alichoandika professor ni sahihi!!! hawezi pita humu bila changamoto! kamwambie huyo professor atoe maelezo kwa hayo maoni yangu!! kifupi hatuwezi chukua wapiga debe wa mbagala wakasimamie Tanesco! hata wao hawatakuelewa! watakupuuza!

kwa sababu hawajawahi kuota kufanya hiyo kazi!! lkn je wanaipenda? wana mikakati yenye tija? wana maoni mazuri kuhusu Tanesco? Huyo professor wako akumbuke kuwa sisi tuna chagua mtu kutokana na vipaji vyao, upenzi, uwezonk, wa kufanya ile kazi!

yaani huyo mzee ana taka tuweke nani sasa km siyo hao? wafugaji au?? hizi Siasa za nyerere hizi, hata mwenyewe alizistukia kitambo sana!
 
his is not fair ,hii nchi sio yenu pekee yenu, hii nchi ni yetu sote, na nyinyi Hamna hati miliki ya milemile huu ni ubull sheet,2025 soon itafika tuone hii system
Wewe Muongo!! hii ni fair!! ndo ilivo hata hukooo mbinguni kwa Baba, Malaika wa kawaida hawezi lingana na wale maarufu km Maserafi na Makerubi, Hawa Malaika ndo wenyewe wanakula good time ever! kulikomalaika wote!

shetani na kundi lake lenye tamaa km hii yako ya kusema eti ''siyo fair''!! aliingiwa na tamaa ya kupatamani palee mahali pa Mungu, patakatifu pa patakatifu hakupata hata kiduchu, mpaka leo anapalilia! zimebaki ni hasira tuuu! kwetu sisi!

Hata iweje kamwe hamtakaa mfanane woote! eti mle good time! muishi, mvae sawa nk! ndo asili ya binadamu! sahau iyo good time eti wote muwe sawa?!! labda uwe na tamaa zako tu za kutaka nafasi, kwa kutumia mgongo wa umma!

lkn ukiidai kwa nguvu saaana utakufa tu km Maalimu Seif! miaka yote aliutaka u rais lkn hamna kitu aliambulia umakamu nao hakufaidi, dogo Mwinyi ni km aliokota embedodo tu! Oginga odinga anazeeka sasa huyo hapo!!

Nina mifano mingi ya watu km weye Savimbi akiwa mmoja wapo!!! watu wa aina yako ndo waleee wanao ingia vitani kudai haki km vipofu! mara nyingi mnatumiwaga kufanikisha malengo ya wenye maono! halafu mnapambwa kwa majina ya ushujaa!

Tuliza mshono wenye meno wale kenge weee! wanajua jinsi yakukutuliza sasa endelea uone si unamjua Ben saa nane, haya yangu ni hayo!
 
Soma mtiririko wa hoja zote kwanza ndio utaelewa hoja yangu. usisome reply kabla hujaona mjadala umetokea wapi hadi kufika hapo.
 
Kwa sehemu umeelezea vema , lakini nikuulize je unaonaje mwitikio wa ulipajikodi wakati ule ukilinganisha na sasa?

Je kuna kuimarika zaidi au kurudi nyuma?

Je athari yake kiuchumi yaweza kuwa ipi na kuanza kuonekana baada ya muda gani?
KHM 1995
 
Nyinyi endeleeni na uonevu hii nchi ipo siku mtaikimbia kwa aibu kubwa ,mtatamani wakati urudi nyuma lakin hautarudi nyuma, hii nchi haiwezekani watu wachache mjione mnahatimiliki ya kuimiliki nchi hii milele, huu utakuwa ujinga wa level ya PhD
 
Kwa mawazo yako unaamini umeme usipokuwa wa uhakika ni anaeathirika ni wewe tu unae muliki bulb mbili. Unaamini kabisa Abubakar Bakhresa anaweza kula njama ili umeme usiwe wa uhakika alafu viwanda vyao vitazalishaje?.
 
Mungu mkubwa, kabla Magufuli hajawapiga risasi wasio na hatia, ameanza yeye kufa. Ndiyo ujuwe Mungu hazihakiwi
 
Kwa mawazo yako unaamini umeme usipokuwa wa uhakika ni anaeathirika ni wewe tu unae muliki bulb mbili. Unaamini kabisa Abubakar Bakhresa anaweza kula njama ili umeme usiwe wa uhakika alafu viwanda vyao vitazalishaje?.
Najua unaongea kishabiki but note "Time will tell you soon", kama umeshindwa kufikilia ndani ya box kwa equation simple basi nje ya box kamwe huwezi fikilia ila fahamu muda ni mwalimu muda ni hakimu ,suburi tu kama abubakar bakhresa ataimalisha hili shirika kama unavyodhani au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…