Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

Mwambie Prof. Shivji atulie tutaona mengi huko tuendako. Subiri siku Mama akimaliza muda wake ndo mtashangaa zaidi mtakaokuwepo. Huu mwendo hakuna anayeweza kuuzia hata aingie yeyote tunaelekea vita vya hamegedoni kama dunia.Hali itakuwa mbaya kuliko sasa.
 
Kule ukiwa na bishara ukigombea serikarini biashara yako unakabidhi kwa mtu akusimamie na pia kwenye tenda za serikari unaweza usipewe nafasi kwa kupitia cheo chako
 
U.M.E.M.A.L.I.Z.AπŸ‘πŸ˜
 
Hapo ndio tatizo lipo na ngumu kutoka hapo.
unaona kila siku yanaibuka mapya, unakuta waziri wa ujenzi ana kampuni ya ujenzi, anajipa tender kwa gharama kubwa .
Mwanasheria wa shirika ana hisa kwenye kampuni inayofanya kazi na shirika
Ni ngumu sana hii nchi kuja kuendelea
 
Yes kwenye uadilifu kuna hoja ya msingi ila sio eti kwa kuwa wapo private sector au ni wafanya biashara basi hawafai kuongoza bodi za taasisi ya umma?
Kwa mfano ungekuwa na bucha ungempa fisi aisimamie?
 
Nchi inarud kuwa kichaka cha wapigaji, tangu lini wafanyabiashara wakajali maslahi ya umma zaidi ya kutaka kutumia ofisi za umma kwa maslahi binafsi.....
 
Trump aliwaachia management zote za kampuni watoto / familia yake, hata kama ilikuwa ni theoretically lakini ni katika avoidance ya conflict of interests
 
Haiwezi kutokea hapa, kwanza ibinafsishe ndo iendeshwe kibiashara, kinyume na hapo, ni utaratibu tu wa kuwapiga waTz.

Hakuna shirika litakalomilikiwa kwa 100% na serikali lenye machineries kubwa kubwa likaweza kujiendesha kibiashara, HAKUNA.
Usiseme hakuna wakati bado haijafanyika hebu punguza pressure kunywa maji mengi alafu tafakari upya kiongozi
 
Kule ukiwa na bishara ukigombea serikarini biashara yako unakabidhi kwa mtu akusimamie na pia kwenye tenda za serikari unaweza usipewe nafasi kwa kupitia cheo chako
Ahsante sana!
 
Huyu bibi huwa hata hausiki kwenye teuzi, yeye kazi yake ni kusaini tu, nadhani ingekuwa vyema angejiuzulu kabisa maana hakuna kitu cha maana anafanya
Rubber stamp.

CS na mkwe ndo kila kitu
 
Hivi akili huwa zinakwenda mapumziko?.

Yaani kiongozi wa kiafrika umlinganishe na Marekani kweli?, Au demokrasia ya ulaya uilinganishe na Tanzania?.

Huyo Trump anajua fika akigusa maslahi ya Marekani kupitia biashara zake leo usingeandika ulichoandika.

Nadhani jifunze kutoka afrika kusini kupitia sheria zao dhidi ya viongozi kama Jacob.
 
Sawa nimekuelewa lakini si kwa kuirejea afrika kusini. Niirejee nchi ambayo fisadi Zuma anafungwa miezi 15?!!! Utofauti uko wapi na kutofungwa?
 
Huyu bibi huwa hata hausiki kwenye teuzi, yeye kazi yake ni kusaini tu, nadhani ingekuwa vyema angejiuzulu kabisa maana hakuna kitu cha maana anafanya
Dah....Kama awamu ya kwanza ya Vasco....enzi za mamvi ....uzuri Vasco ni mtoto wa mjini...akamtengenezea mamvi zengwe akapigwa chini....Sasa Bibi yetu sijui itakuwaje ,πŸ€­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Taratibu utamkubali tu!

Ni suala la muda tu
Magufuli alikuwa shetani ameondoka na damu nyingi sana za watu adhabu yake anatakiwa maiti yake imwagiwe tindikali au ichomwe na gesi ipotee kabisa kwa ardhi ya nchi hii.
 
Ni hakika kabisa watu walio na exposure wanastahili lakini suala la conflict of interest lina angalizo la kipekee katika jicho la maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…