Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Toa umavi wenu wakise....nge... Mnafikiri watu wajinga kama nyie.... Huyo kikwete unaysema hapa ni tapeli na fisadi papa.
 
Noted🙏🙏

Bt tukinyamaa kabisa nani ujumbe wa may 2024 utawafukiaje watu Ili wajinasue na kadhia ijayo?

Ni vizuri kusema bila kujali watachukua hatua au kunyamaa!!

Bt Asante Kwa ujumbe murua, nautunza CIA🙏🙏🙏
Libarikiwe jina la yule Mungu wangu pamoja na Ibrahimu,Isaka na Yakobo
 
Basi jeshi la polisi limekuwa halijui wajibu wake
 
Sasa kama walipiga mpunga kwanini hawako jela?Nakumbuka kikwete aliwatetea kwamba pesa sio za serikali!Magu ndio alikuja kuwashughulikia!
Magu(Mwamba kama ulivyomuita) pia alivyokuwepo,huu ujinga aliufutilia mbali!Mpiga deal wa msoga ndio dalali kwenye hii issue!
 
Eeh bwana wewe, yeye alipewa cha juu tu.

Lakini point, hapo anaongea utumbo tu.
 
Bibi buwaana
 
Libarikiwe jina la yule Mungu wangu pamoja na Ibrahimu,Isaka na Yakobo
Amen ubarikiwe pia, Mishale ya adui isikupate,

Mungu akutunze kama mboni ya jicho lake, usimame Kila palipo na HAKI.

Beba silaha hizi hutoshindwa popote: Jifunge KWELI kiunoni, Dirii/ngao ya HAKI kifuani, miguu Yako ipewa utayari, , Pia beba NGAO ya IMANI Ili kuizima Mishale ya adui, Wokovu,Ubebe pia Upanga Roho ambao ni Neno la Mungu moyoni, maombi na Sala pia.

Ukiwa na silaha hizi hutamhitaji sangoma kukulinda dhidi ya makombora yasoonekana dhidi ya Roho na NAFSI Yako.

Amen
 
Huo utumbo ndio muujibu kwa hoja na sio kuleta mambo mengine yasiyohusiana kabisa!
No wonder remote(Dalali) anataka 2025 huyu mama apite bila kupingwa!
Sasa kijana, anna hapo anaongelea kataba wa uwekezaji, wewe umewahi kuuona u kuusikia mkataba huo?
 
Kina nani nyie Bibie? Warembo wengine au? Profesa wa kimataifa sio jalalani, na mzamivu haswaa 🤩. Sasa wewe ungepangua hoja badala ya insinuations na character thrashing. Uwezo unao mrembo!
 
Naona majizi ya Bandari zetu mmejipanga kwa uzushi. Hamuoni aibu kumtetea huyo mwaaeabu wenu DPw ambaye watanganyika wamemkataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…