Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Duu Sikudhani km samia yupo na mambo ya ajabu km hivi
Wewe jinsi ulivyoandikwa unaonesha wazi hata kilichoongewa kimekupiga chenga. Soma kijana, lugha za watu hizo.

Tibaijukwa mwenyewe bomu kwenye Kingereza anazichanganya R na L vibaya sana.
 
Jihadist kwann usijibu hoja? Halaf achana na mamb ya kanisa!! Yaan wee kokoo ni mdini san.
 
Pesa zilizotolewa pale STANBIC zikiwa ndani ya sandarusi watanzania wanajifanya kuzisahau.
 
Ya kweli haya?
Kulikuwa na haja gani ya kutaja kabila lake
 
Faizafoxyutakuwa unamwonea. Kwanza siamini kama atakuwa ameelewa hata alichokisema. Kama hoja tu za akina Mwambukusi wanazozitoa kwa Kiswahili huwa haelewi, ataelewa hizo zilizotolewa kwa Kiingereza?
 

Jibu hoja ,acha ku-attack mtu..........Kama ana hisa TICTS mbona Karamagi alikuja ku-support mkataba mbovu wa bandari?
 
We hauko sawa.
Bandari yakuuma sana ati!
Yakuhusu nini wewe!!
 
Mkuu hivi huwa huna kazi ya kufanya? Kila muda lazima ukomment tena negative comments?
Kumbe na wewe umekaona hako kajamaa mkuu,

Haka kajamaa bila shaka ni kapigaji kule maji chumvi,kanaona DPW wakija katakosa kupiga,kanahangaika na vicomment vyake,hakajui kua vicomment vyake havina impact yeyote kwenye issue ya DPW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…