peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Profesa Tibaijuka alipeleka sakata la bandari kidunia
View attachment 2717356
Hoja zake zip? na alianza na hoja ya Dubai ni mshindami wetu kweny transhipment.Poapoa tumekusikia. Haya jibu hoja zake.
Jibuni hoja anazozijenga siyo kuanza kutafutana sijui kafinywa na nani, sijui nongwa. Pangueni hoja kwanzaHuyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.
Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.
Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
InterGovernment Agreement (IGA) is an AGREEMENT to AGREE. Ni Makubaliano muhimu yanayoweka msingi kwa Mkataba ulio mbioni kuingiwa na pande mbili.Sasa kwa wenye akili wanamshangaa. Iga imesema kutakuwa na HGA kuhusu huo uwekezaji alafu unasema IGA iwe na timeliness?? Huo ni uzuzu
DP World ni myahudi kwa taarifa yako.Tena huyo ndiye ala huna haja ya kunikumbusha.
Jinsi nnavyomuogopa na kumfata Allah sikubali Muislam aonewe na mimi natazama tu. Kumbuka hilo.
Apeleke tu. Kwenye TICTS ana hisa za kutosha lazima aumie yeye na propagandist Mkuu wa ChinaProfesa Tibaijuka alipeleka sakata la bandari kidunia
View attachment 2717356
Tatizo ni nini akiwa Myahudi? Tena Myahudi ndiyo wafanyabiashara wakubwa duniani.DP World ni myahudi kwa taarifa yako.
Baki na uzuzu wako wa hao waliotangulizwa mbele.
“By criminalizing public criticism of the port deal, the Tanzanian authorities are clearly trying to snuff out dissent. The government should instead enable the public to engage in discussions of all matters of public interest, including the UAE port agreement, and ensure all aspects of the agreement are transparent to ensure the public’s meaningful engagement......."Detained critics of Tanzania, UAE port deal must be immediately and unconditionally released.
The Tanzanian authorities’ crackdown on critics of the UAE port deal reveals their growing intolerance for dissent.www.amnesty.org
Hoja zake zipi? tufahamishe wewe, mimisijaona hoja yake. nimemsikia anaulizwa maswali anajibu uongo. Wewe umeisikia hoja ipi ili tukujibu wewe upate faida.Poapoa tumekusikia. Haya jibu hoja zake.
Mimi na wewe, au wewe anakupa shida?Hakupi shida wewe na nani?
Namna "hii" ipi? Usiongee kijuha.Wakati mwingine acha kujitoa fahamu. Why unafanya vitu vya kitoto namna hii.
Maana unataka kujifanya huelewi kuhusu benki ya kanisa iliyotumika kuingiziwa pesa na kuzigawa. Naona umeshakumbuka.Vitu vingine hupasw hata kunegotiate issue ya juz ya escrow then unasema mtu alikua anavaa nepi!! Halaf jihadist cjui kwann kichwan hua watupu!!
Siyo madalali, umekosea, ni makuwadi.Haswaa..
Madalali wa DPW mmejipanga.
Hampati shida!
Ulitaka asiu support?Jibu hoja ,acha ku-attack mtu..........Kama ana hisa TICTS mbona Karamagi alikuja ku-support mkataba mbovu wa bandari?
Ndo hoja zinavyojibiwa kwa charracter assassination?Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.
Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.
Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Huyo anachukia msalaba. Ni ngumu kumshauri huyu bibi.Kati ya Wahaya, Wakatoliki/ Wakristo na Wanyakyusa, ni nani unawachukia zaidi?