Huyu mama alikuwa Mbunge, Waziri kwanini wakati akiwa katika hizo nafasi hakusema haya?Nchi hii watu waliopo Kwenye madaraka, hawana huruma hata kidogo na Taifa, badala yake wanatumia nafasi hizo kutuibia bila huruma๐
Siku hizi hawa watawala wetu wanatuona sisi watawaliwa kuwa ni takataka tu.Mwisho wa mchezo huo utakuwa mbaya sana.
Lakini hiyo mikataba ya Siri haijaanza kwenye hii awamu ya Sita ya Mama bali hata mikataba ya madini na Gesi nani alishirikishwa au nani aliiona ?Muhimu ni kile alichoongea
Vile visenti vya mboga vilitokana na mkataba gani!Yeye kama yeye alichukua hatua gani?
hakuitumia?
Tatizo la professor ๐ฉโ๐ซ ni kusema kweli akiwa nje ya meza kuu lakini akikaribishwa mezani huwa anaibadili mitazamo yake haraka sana kama vile sio yeye !!Kwa hiyo kama mtu aliiba zamani akatubu hapaswi kukemea wizi wa sasa? Au atakuwa anawaonea gere wezi?
Hebu nieleze huko huko CCM ni wangapi umesikia wakisema kama yeye, iwe wapo ndani au nje ya serikali. Kwa hiyo, kwa yeye kusema, hilo pekee lina mtofautisha na hao wengine wote; au wewe hata hiyo tofauti huioni, hata kama ni ndogo?Tatizo la professor ๐ฉโ๐ซ ni kusema kweli akiwa nje ya meza kuu lakini akikaribishwa mezani huwa anaibadili mitazamo yake haraka sana kama vile sio yeye !!
Sawa Paskali. Mnatengeneza mikataba na ndani mnaweka kipengere mnakiita "non-disclosure clause" ambacho kinazuia pande hizo mbili kwenye mikataba zisitoe au kuonesha mikataba hiyo kwa mtu wa tatu ambaye hausiki na mkataba huo. Hivyo basi mnaacha iwe ni siri yenu wawili tu. Yaani ninyi ndugu zetu wasomi mnatuangusha sana kwa hilo.Huyu Mama naye...!, mkataba ni wa siri, wanasheria wenyewe wanaojua sheria wako kimya, unategemea nini kwa mwananchi wa kawaida?.
Hebu atuache...!.
Tuko hapa ukumbini tunamsubiri Mama tusemezane.
P
Huyu Mama wa tuela twa mboga hapaswi kuilaumu mikataba hiyo ya siri. Hutwo tuela twa mboga alitwotupata toka kwa ndugu yake mmoja ni matunda ya siri sirini katika mikataba mibovu tuliyokwisha ingia with our eyes wide openTatizo la professor ๐ฉโ๐ซ ni kusema kweli akiwa nje ya meza kuu lakini akikaribishwa mezani huwa anaibadili mitazamo yake haraka sana kama vile sio yeye !!
Tiketi za ubaya ubwela zimeisha. Jezi elfu 42 Hilo tunafuatilia kweli. Lakini mambo ya msingi Kwa faida ya watoto wetu na wajukuu wetu tukiulizwa tuna majibu mepesi et tutafanyaje Sasa! Aliyeturoga kafa angekuwapo tungemlazisha atutoe kwenye chupa!Mama anatumegea ili sisi kama sisi tujadili nini cha kufanya na ikiwa kwa wakati wake alishindwa kufanya chochote haimaanishi basi wote tuwe kama wao kuna cha kujadili na kuchukua hatua kwa wakati wetu kuna mambo katika ujana wako ulishindwa kuyafanya watakuja vijana watafanya mimi sioni kosa kwake na ndio maana watz hatubadiliki tumekuwa rigid.
Huyo mkubwa kawekwa na nani awe mkubwa?. Hawajitambui na hatujitambui tunasahau kwamba tunapanga foleni kuwaajiri. Wanatakiwa watuite sisi wakubwa. Nyumba wanazoishi tumejenga sisi, ofisi wanazopigwa na viyoyozi ni nguvu zetu. Magari wanayotembelea kodi zetu. Mishahara pesa zetu. Tunachowatuma hawafanyi. Tujitambue tusiwe na WOGA kuwahoji na wamekuwa na kasumba ukiwahoji maswali ya kuwaingiza matatani wanasema OCD nenda naye huyo. Mungu TUSAIDIE tuamke tujitambue.Exactly !
Ndio maana ukianza kuhoji maamuzi ya wakubwa unaonekana ni Adui msaliti
Si ametuamsha kwamba mikataba mingi ni mibovu? Kwa hiyo ukianza kuhoji sijui Symbion, Meremeta, Escro sijui DPW, dawa yao ni TUWAONDOE na Mikataba tuione yote kwani hii ni nchi yao? Siri zibaki ni za ulinzi wa nchi tu yaani jeshi. Tutakuja ambiwa Watanzanaia wote hamieni Congo nchi imeuzwa kama wamasai walivyoambiwa hamieni Msomera oohoooo!Tujibu hoja aliyoweka mezani kwanza
Kiapo! Nitatunza Siri ya Serikali!Wanapewa rushwa kubwa kuingia mikataba ya hovyo hovyo na kuwatangazia wenye Nchi yao kuwa mikataba ni ya siri..
Hiyo ni point ๐๐Hebu nieleze huko huko CCM ni wangapi umesikia wakisema kama yeye, iwe wapo ndani au nje ya serikali. Kwa hiyo, kwa yeye kusema, hilo pekee lina mtofautisha na hao wengine wote; au wewe hata hiyo tofauti huioni, hata kama ni ndogo?
Tulishaambiwa tuhamie Burundi ๐ง๐ฎ ๐ณSi ametuamsha kwamba mikataba mingi ni mibovu? Kwa hiyo ukianza kuhoji sijui Symbion, Meremeta, Escro sijui DPW, dawa yao ni TUWAONDOE na Mikataba tuione yote kwani hii ni nchi yao? Siri zibaki ni za ulinzi wa nchi tu yaani jeshi. Tutakuja ambiwa Watanzanaia wote hamieni Congo nchi imeuzwa kama wamasai walivyoambiwa hamieni Msomera oohoooo!
Ni kweli kabisa hii kasumba ya kuwaita wakubwa hata kama ni kwa kuwazodoa lakini huwa inatutia unyonge fulani hivi ya kutufanya tujione kama vile sisi tunafadhiliwa na wao !๐๐Huyo mkubwa kawekwa na nani awe mkubwa?. Hawajitambui na hatujitambui tunasahau kwamba tunapanga foleni kuwaajiri. Wanatakiwa watuite sisi wakubwa. Nyumba wanazoishi tumejenga sisi, ofisi wanazopigwa na viyoyozi ni nguvu zetu. Magari wanayotembelea kodi zetu. Mishahara pesa zetu. Tunachowatuma hawafanyi. Tujitambue tusiwe na WOGA kuwahoji na wamekuwa na kasumba ukiwahoji maswali ya kuwaingiza matatani wanasema OCD nenda naye huyo. Mungu TUSAIDIE tuamke tujitambue.
Wamesha tuona sisi ni watu wa kudanganywa danganywa kama watoto wadogo!Huyu Mama wa tuela twa mboga hapaswi kuilaumu mikataba hiyo ya siri. Hutwo tuela twa mboga alitwotupata toka kwa ndugu yake mmoja ni matunda ya siri sirini katika mikataba mibovu tuliyokwisha ingia with our eyes wide open
Mkuu Kuta, KUTATABHETAKULE , kwanza ni kweli kabisa mikataba mingi ina kipengele hicho cha non disclosure kwa ajili ya kulinda siri za biashara, lakini kwa mikataba kuhusu rasilimali za taifa, haipaswi kuwa siri kwasababu inahusu public property, wenye nchi ni wananchi na sio serikali, hivyo wenye mali has the right kujua kuhusu hatma ya mali zao, ndio maana tukaamua mikataba yote ya rasilimali za taifa lazima ipitishwe bungeni bunge liridhie, na ndicho kilichofanyika kwenye ile IGA ya DPW na Bandari zetu.Sawa Paskali. Mnatengeneza mikataba na ndani mnaweka kipengere mnakiita "non-disclosure clause" ambacho kinazuia pande hizo mbili kwenye mikataba zisitoe au kuonesha mikataba hiyo kwa mtu wa tatu ambaye hausiki na mkataba huo. Hivyo basi mnaacha iwe ni siri yenu wawili tu. Yaani ninyi ndugu zetu wasomi mnatuangusha sana kwa hilo.
Atoe ushauri wananchi wafanyeje maana serikali ilishajitaja kuwa ni kiziwiAidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.