Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hivi vyeti feki si mmelipwa au wewe hujalipwa mkuu?Hii miradi ilikuwa na ten pasenti za Jiwe, Bashiru, Polepole, Dotto James, Kijazi na Mfugale na Kalemani.
Ndio maana Hilo kundi lilikuwa linaipigia kelele miradi hiyo, sio kwamba waliipenda nchi, hapana, walikuwa na vikampuni vyao vina subcontract.
Naona aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa dodoma baadae akahamishiwa njombe ndugu Mtaka alikuwa anajilia tenda za kuuzia serikali matofali kwa kupitia kampuni ya mkwewe wa GRONECY HOTEL, Morogoro,
SGR inatakiwa iishe kwa phases. Ila Bwawa ndio main focus liishe kwanzakwenye bwawa la Nyerere tayari inajulikana litaanza kazi lini,na lishaanza kujazwa maji.ila sgr ndo mziki upo hapo sasa.
Mambo ya JPM yalikuwa ya hovyohovyo, kwa mara ya kwanza mkuu wa Mkoa anagombania ghorofa la mabilioni Masaki. Mshahara wa mkuu wa Mkoa hauzidi milioni tano.Ili umuelewe raisi aliepita inabidi ipite miaka kadhaa ndio utamuelewa.Nakumbuka alipotoka hayati mwl.Nyerere watu tuliona kama katuingiza chaka, lakini baadaye tukamuona kumbe alikuwa sahihi sana.Sasa hii ndivyo itakavyotokea kwa Magufuli na hata Samia,baada ya miaka kadhaa kuondoka ndio utajua kuwa walikuwa na akili za ziada...
Tumelipwa mkuu, hapa tuko tunatest mitambo ya weekend, one two za baridi, Jiwe aliyetufanyia mtima nyongo, anasikilizia joto la ardhi linavyomnyoosha saa saba hii ya mchana akiwa amekenua huko alikolalaHivi vyeti feki si mmelipwa au wewe hujalipwa mkuu?
Nadhani wangeacha ununuzi wa ndege. Kwenye usafiri wa anga wavutie wawekezaji kama fastjet warudi.kwenye bwawa la Nyerere tayari inajulikana litaanza kazi lini,na lishaanza kujazwa maji.ila sgr ndo mziki upo hapo sasa.
Sasa kama mmelipwa,muacheni huyo father apumzike kwa amani aseeTumelipwa mkuu, hapa tuko tunatest mitambo ya weekend, one two za baridi, Jiwe aliyetufanyia mtima nyongo, anasikilizia joto la ardhi linavyomnyoosha saa saba hii ya mchana akiwa amekenua huko alikolala
ushauri makini kabisa huu.👆Nadhani wangeacha ununuzi wa ndege. Kwenye usafiri wa anga wavutie wawekezaji kama fastjet warudi.
Pesa hiyo inayopelekwa kununulia ndege zinazoliingizia Taifa hasara kila mwaka, zote zipelekwe kwenye reli.
Kiuhalisia na kwa faida za kiuchumi, ujenzi wa reli, barabara na madaraja ilikuwa sahihi. Vingine vingefuata taratibu.
yap huo ndo mpango mzima.SGR inatakiwa iishe kwa phases. Ila Bwawa ndio main focus liishe kwanza
Kama hakuacha amani ambayo ingemsindikiza huko aliko kwa amani, atapumzikaje kwa amani? Yaani kama kaburi lake lina masikio, kwa aliyoyafanya, kelele hizi zitamnyima amaniSasa kama mmelipwa,muacheni huyo father apumzike kwa amani asee
Labda akatubu Kwa sabaya na makonda.sio Mungu wa Isaka na YakoboKama hakuacha amani ambayo ingemsindikiza huko aliko kwa amani, atapumzikaje kwa amani? Yaani kama kaburi lake lina masikio, kwa aliyoyafanya, kelele hizi zitamnyima amani
Na bahati baya hawezi kuamka kuomba radhi na kutubu.
Vipi daraja la busisi..SGR inatakiwa iishe kwa phases. Ila Bwawa ndio main focus liishe kwanza