TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

Wengi kama siyo nyie ni wake zenu ambao mumeshahudumiwa na pengine kufanyiwa upasuaji na dokta ambaye yuko maji.

Nawashangaa mnavyorudia hiyo kauli kinafki kama kawaida ya unafki wa kitanzania.
Marehemu namfahamu lakini wewe dogo sikujui😎 RIP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…