Ngoja "wafuasi" wake wenye hasira kali waende kuchoma hilo ghala wanalotumia kuhifadhia hizo chanjo...au wawachome moto wahudumu wa afya watakaoenda kuelimisha watu kuhusu chanjo🐒
H
Ngoja "wafuasi" wake wenye hasira kali waende kuchoma hilo ghala wanalotumia kuhifadhia hizo chanjo...au wawachome moto wahudumu wa afya watakaoenda kuelimisha watu kuhusu chanjo🐒
Halafu watakuwa wakiwatafuta wanaowaita magaidi kwa tochi kiasi hata cha kupambikia.
 
Mimi si mshabiki wa Askofu Gwajima. Lakini nakubaliana naye kwa ishu ya chanjo. Ni mtu mjinga pekee ndio anaweza kubali Chanjo. Mungu hakosei kuhusu immunity aliyomuumba nayo mtu. Why chanjo now?
Kwa hiyo watu wa afya wanakosea na kwenda kinyume na immunity aliyoiumba Mungu pale wanapowapa watoto chanjo dhidi ya POLIO ,KIFUA KIKUU ,HOMA YA INI ,DONDA KOO ,PEPOPUNDA NA KIFADURO?
 
H
Halafu watakuwa wakiwatafuta wanaowaita magaidi kwa tochi kiasi hata cha kupambikia.
Kuna mengi sana yanaweza kutokea mtu anaweza kuanza kuua wale waliochanjwa kwa sababu ni mashoga au mazombi😂
 
Kama Waziri wa Afya wa Uingereza kachanjws na bado akaugua covid-19, usalama wa chanjo hapo upo wapi? Hivi wewe in mchawi umetumwa eti? Serikali ipi yenye uwezo wa kuthibitisha kwamba chanjo in salama?

Hii hii ya Mama Samia iliyo busy na kusgughulika na gender na kutuibia pesa za tozo za miamala? Tunapoonfelea suala la afya za watu hebu tuwe aerious basi tupunguze ushwahili
 
Kwa hiyo watu wa afya wanakosea na kwenda kinyume na immunity aliyoiumba Mungu pale wanapowapa watoto chanjo dhidi ya POLIO ,KIFUA KIKUU ,HOMA YA INI ,DONDA KOO ,PEPOPUNDA NA KIFADURO?
Pia na aseme ni moja ya mwanakondoo wake wa mpinga chanjo.
 
Itakuwa Nchi ya ajabu Kama Gwajima ajakamatwa Hadi kuisha leo, ni gaidi huyo,Hana nia nzuri na Nchi
 
Mimi nimesikia anauliza na kujijibu
1.nikichanja navaa barakoa?..ndio
2.nikichanja naweza kuambiza?...ndio
3.nikichanjwa naweza kuambukizwa?...ndio
4.sasa nachanjwa ili iweje?
Ili usife kwa haraka.
 
Zipo taasisi/kampuni zitaweka sera ya kuchanja wafanyakazi wao wote kwa lazima. Najua serikali wanasoma maoni yetu, utolewe muongozo utaosimamia raia wake juu ya uhuru/hiari kushiriki hizi chanjo.

Twende na hili swala kwa akili!
 
Gwajima yuko sahihi sema Watanzania mmejaa unafiki, mama kachukua hela za chanjo ndiyo kwani uwongo? Penye ukweli pasemwe. Tutaanza kushuhudia pia majeneza yakijazwa mchanga na kuzikwa eti ni vifo vya corona ili aendelee kupiga hela.
 
Sukumagang kazini.
 
Mbona dikteta alitaperi hela za chanjo,akaenda kujengea hekalu kwao
 
kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha.
Kama serikali imejiridhisha ,ni kwa nini imetoa fomu ya mtu anayechanjwa kuji-commit mwenyewe kinyume na chanjo nyingine tulizozoea kuchanjwa?
Weka hoja za kwako ni kwa nini chanjo ni salama wala usiihusishe serikali au Gwajima,wewe toa hoja za kwako tujadili.
 
Huyu anyanganywe kadi yetu ya ccm ,anapingana na mamlaka
 
Gwajima ameokoka "amempa Yesu maisha yake " na kwa imani ya Walio okoka Yesu naponya kila kitu pale unapo omba kwa imani.
HivyoGwajima amezungumza kwa imani na yupo sahihi kwakuwa Biblia yao inasema hivyo, kuwa na imani utapona.

Sema tu kosa la Gwajima ni YUPO PALE KWA WIZI WA KURA.
 
Rubbish. Bila shaka wewe nawe ni mfuasi wa gaidi faru John, kuongea yako inakutambulisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…