Yaani Gwajima ndio wa kupingana na Kauli ya Amiri Jeshi Mkuu? Eti Askari wasichanjwe? Eti Madaktri wasichanjwe? Eti Rais amepokea pesa ili akubali Chanjo?
Hata kama chanjo ingekua na makosa/mapungufu bado sio sahihi kwa Gwajima kutumia Umaarufu wake kuyapinga tena hadharani maelekezo ya Rais
Msipomkemea Gwajima, wallah wabillah nawaapia kuna siku ataiingiza hii nchi kwenye shida kubwa huku mlivyo wajinga mkiwakamata na kuwaharasi Chadema.
Wacha tukae kimya tumpigie makofi...
Ndugu mimi ninaomba kujua tu. Nani anaejua matokeo halisinya hizi chanjo??
Nani anaejua madhara ya hizi Chanjo??
Huoni kuwa ni risk kwa taifa kufanyia majaribio kwenye Jeshi na Madaktari wake???
Hii chanjo ingekuwa imesha tumika tukaona matokeo yake hapo ningesema hakuna shida ila hakuna hata mmoja anajua madhara ya hii chanjo.
Magu hakua mjinga kusema hatuta chanjwa mpaka tujue matokeo ya chanjo.
Sasa hivi tumekuwa watu wakutishana tu kila siku tanko kila siku tamko. Mnacho kitaka Tanzania kitapatikana soon.
Kumbukeni tuna madini na mali nyingi ambazo baadhi ya nchi kubwa Duniani wana zitafuta sana.
Tanzania achane kuwa kichwa cha mwendawazimu,
Ikowapi leo ule mchanganyiko wa NMRI NA MBONA HAKUNA KUHAMASISHANA KUPIGA NYUNGU.
Wimbi la kwanza na lapili tulipita kwanini hili litusumbuee.
Watu tumeacha kumtegemea Mungu na kufikia kuambiwa tuende Kanisani kwa masaa mawili huu ni ijinga.
Kutoka taifa la kumtegemea Mungu mpaka kuwa taifa la kumpinga Mungu.
Shame on you Viongozi wa Tanzania