Ukimpinga MTU au ukimshambulia MTU lazima uaishe authority za kutosha ,zinazo support hoja zako.Lakin unaongelea hewani tu.Unatupa tu mawazo yako,ambayo huna huhakika nayo.Tafuta authority au maandiko ya msingi,ili umpinge Gwajima.
 
Kumbe chuki ipo hapa,basi muumbueni,si yeye kashawaumbua? nani aliwapa kazi ya kumsaidia kuiba kura? kama mlihusika basi ninyi mkamatwe na mhojiwe ni kwa nini mlitudhulumu sisi wapiga kura haki yetu. Kashawaumbua,msimuombe ruhusa kumuumbua,na ninyi muumbueni.
Haramu haijawahi kuwa halali eti kisa mnafichiana siri.
 
Yaaani gwajima kwa akili yake Anatamani magufuli angelikuwepo
 
Msukumo mkubwa unaowataka watu wachanjwe na matusi kwa watu wanaotoa maoni yao yanayoenda kinyume na hii chanjo ndio vinazidi kuipa mashaka jamii juu ya hii chanjo.....

Kama wewe umeamua kuchanja kwa utashi wako kwanini usiheshimu utashi wa wengine walioamua wasichanjwe......??

Kwanini kuna ushawishi mkubwa juu ya hii chanjo kuliko ilivyo kawaida....kwanini chanjo hii inatumika nguvu kubwa kushawishi watu kuchanjwa.....

Maswali yote haya yanatia mashaka na hofu hata kwa ambaye kaamua kuchanjwa.....

Maadamu ni jambo la khiyari basi watu waheshimu utashi wa wengine kama ambavyo wengine wanaheshimu utashi wao.......
 
Gwajima ni moja ya madoa makubwa sana alituachia president magufuli
 
Kumbe mnaibaga kura
 
Heshimu haki ya maoni na kukosoa mbona wewe umekuwa na uhuru wa kukemea je yeye kukemea asichokiamini sana kakosa nini, miaka yote kuna kupinga na kukubali.
 
Umeandika sahii Sana , GWAJIMA anapotosha, tena KWA makusudi
 
Ushawishi mkubwa coz Coronavirus ni pandemic pia ni airborne disease,hawa virus wana ambukiza from human to human,
Nobody is safe until everyone is safe.
 
Mwizi wa kura anapata wapi moral authority ya kumzungumzia Yesu na mambo ya wokovu? Hiki ni kituko cha karne.
 

Mungu kutana na watu wanaoita Jina lako kwa Mzaa!
 
Ushawishi mkubwa coz Coronavirus ni pandemic pia ni airborne disease,hawa virus wana ambukiza from human to human,
Nobody is safe until everyone is safe.
Sasa kama mtu unaweza ukapatiwa chanjo ya COVID na bado uko kwenye hatari ya kupata COVID na pengine kupoteza maisha kwa COVID sasa mantiki ya chanjo ni ipi.....??
 
Ndugu mimi ninaomba kujua tu. Nani anaejua matokeo halisinya hizi chanjo??
Nani anaejua madhara ya hizi Chanjo??
Huoni kuwa ni risk kwa taifa kufanyia majaribio kwenye Jeshi na Madaktari wake???

Hii chanjo ingekuwa imesha tumika tukaona matokeo yake hapo ningesema hakuna shida ila hakuna hata mmoja anajua madhara ya hii chanjo.

Magu hakua mjinga kusema hatuta chanjwa mpaka tujue matokeo ya chanjo.

Sasa hivi tumekuwa watu wakutishana tu kila siku tanko kila siku tamko. Mnacho kitaka Tanzania kitapatikana soon.
Kumbukeni tuna madini na mali nyingi ambazo baadhi ya nchi kubwa Duniani wana zitafuta sana.

Tanzania achane kuwa kichwa cha mwendawazimu,
Ikowapi leo ule mchanganyiko wa NMRI NA MBONA HAKUNA KUHAMASISHANA KUPIGA NYUNGU.
Wimbi la kwanza na lapili tulipita kwanini hili litusumbuee.
Watu tumeacha kumtegemea Mungu na kufikia kuambiwa tuende Kanisani kwa masaa mawili huu ni ijinga.

Kutoka taifa la kumtegemea Mungu mpaka kuwa taifa la kumpinga Mungu.

Shame on you Viongozi wa Tanzania
 
Hii mada itajaa negative nyingi kwa waitao wenzao Wagalatia, chochote kutoka au kikiwa chini ya wakwao akili zinahamia kulia kwenda kushoto. Kuelewa uhuru na haki ya Gwajima kukubali au kuipinga chanjo huitaji kuwa mtume au malaika.

Mpenda chanjo wajibu wako ni kwenda kuchanjwa na uisifie kisha uvutie wengine.
Kisha ubuheri wa afya utamalaki kwako na husda itakuwa msululu wa wati kukimbilia kuchanjwa.

Wabillah, Asalaam! Habari Jaliamba?
 
apo ulipo umejaa makovu ya chanjo za surua, ndui, TB na polio u ulizochanjwa
 
Itakuwa Nchi ya ajabu Kama Gwajima ajakamatwa Hadi kuisha leo, ni gaidi huyo,Hana nia nzuri na Nchi
Si tulikuwa tunalia hakuna Uhuru wa kutoa maoni? Vipi tena mnataka wanaotoa mawazo Yao wakamatwe?
 
Wewe una uhakika gani na hizo chanjo? Yeye anaonesha wasiswasi wake basi wewe mpe huo uhakika kwamba chanjo hizo ni salama 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…