DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mkuu With all Due Respects!Kazi maalum na asiyekuwa na wizara maalum ni sawa tu. Waziri una wizara au huna mengine ni mbwembwe tu. Kaka yangu mkuchika hana wizara.
naomba Nikueleweshe tena..
mkuchika Ni waziri wa nchi ofisi ya Rais yaani "Ministry of State President office for special work."
Ila kwa Amiri alikuwa ni "Minister without Portfolio"
Unaona hayo maandishi na hizo kazi ziko sawa?.... Minister of state in president office for special work na "Minister without portfolio"
Wanalingana?
kama ukisema wanalingana bhasi kuna kitu kwako Hakiko sawa