Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

_UTAJUAJE KAMA DEMU WAKO NI MBAYA???_

*NI PALE UTAKAPOMTAMBULISHA KWA WAZAZI WAKO.*

*KISHA UNASIKIA WANAKWAMBIA......*
*KIKUBWA NI UPENDO TU BABA.*

*KUPENDANA NDO KITU CHA MUHIMU*[emoji23]
Lol, pale unapomtambulisha manzi yako kwa best zako halafu wanakujibu,
"As long as your happy, we support you broda"

hahaha jua hapo umepotea kichochoro. lol.
 
Acha Utani Mkuu!
Demi!
Demi!
Demi!
Bonge la toto!
 
Hakuna mtu mbaya wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa aliye juu.

Wewe waweza kumwona mbaya kumbe mimi nikafa nikaoza uzuri wa mwanamke anaujua mume wake
 
Nilishawai kupiga binti wa humu ndani,kiukweli sio mzuri ila kwakuwa niliyavulia maji nguo ilinibidi kuyaoga,naunga mkonyo hoja.
 
Nilishawai kupiga binti wa humu ndani,kiukweli sio mzuri ila kwakuwa niliyavulia maji nguo ilinibidi kuyaoga,naunga mkonyo hoja
 
hivi huu ni utafiti au mawazo binafsi
 
Kwani shida ni nini hapa, uzuri au ubaya wa wasichana/wanawake wa JF unakupunguzia nini? Uliye na bifu naye malizana naye usijumuishe wote. Acha kuwanyima watoto wa watu raha.
 
Kwani shida ni nini hapa, uzuri au ubaya wa wasichana/wanawake wa JF unakupunguzia nini? Uliye na bifu naye malizana naye usijumuishe wote. Acha kuwanyima watoto wa watu raha.
Hahahhaha eti tunawanyima raha aya tutaacha kuwanyima raha warembo wa jf[emoji87] hahah[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…