Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Hii ni kawaida sana ila pia it's works of powers. Yule mwenye akili anakuwa amejaza CPU too much had ina crack hivyo siku ya mtihani ana panic.

Huyu ambaye hasomi, anakuwa na photographic memory alichosoma ndipo maswali yalipotoka.
P
 
'the will ikiyoko ndani ya hiyo kauli.
If the will is strong enough, you can wish anything and it will happen or materialize!' naendelea kufuatailia taratiiibu...
Yes you have the powers inside you, hata wale wahubiri wanaoponya kwa miujiza, nguvu za uponyaji hazitoki kwa muhubiri au mganga bali zinatoka ndani yako.
P
 
Yes you have the powers inside you, hata wale wahubiri wanaoponya kwa miujiza, nguvu za uponyaji hazitoki kwa muhubiri au mganga bali zinatoka ndani yako.
P
Hii mada imenikumbusha mbali sana. Miaka ya nyuma nilikuwa na hizi power. Vitu vingi ninavyovifanya sasa au miaka ya karibuni vingi nakumbuka nilikuwa naviwaza miaka mingi before. Sasa hii hii nguvu hali imetoweka miaka michache nyuma, natamani niirudishe
 
Mkuu TATIANA , hili jina lako changamoto kama utatanguliza neno TU...
Tukija kwenye hizo powes, you still have them ila kuna vitu ulifanya sivyo hivyo hizo nguvu zimelala ndani yako, yaani ziko dormant, you can revive them na kuendelea kuwa kama zamani.
P
 
Hahaha haha... Nimejikuta nacheka kwa sauti. Nifanyeje mkuu ili zirudi?
 
Pascal Mayalla
mshana
Hivi mashaka,kutojiamini,hofu unayokuwa nayo mtu pale tu unapotaka kufikia ndoto fulani ina madhara yoyote. Mfano unamwomba Mshana Jr akufanyie mpango fulani alafu kwa hulka tu na nature ya kibinadamu unajikuta una sense mashaka juu ya kufanikisha jambo hilo. Power +Hesitation =?
 
Mashaka kinyume chake ni nini?
Hii ni ishara mojawapo inayokupatia mrejesho wako kuwa haupo sawa na nguvu zako, umepoteza au umeshau kuwa una nguvu. Umetoa au umeruhusu maisha yako kutawaliwa na nguvu au power iliyo nje yako. Ukifuatilia kile anachokisema PASCO utaweza kuachana au kuondokana na hayo mashaka na hii inakuja kwa kutambua nguvu uliyonayo.
 
Mie hapo tu nakukubaligiiii kwenye mambo ya powers powers, hivyo hujaweka bango jingine mbali na lile la psychic powers?
 
ahsante
 
Mkuu Tunkamanin, kwanza hongera sana kwa uzi huu.
Japo binadamu wote tumeumbwa sawa, lakini tunatofautiana sana uwezo, karama, vipawa, vipaji na nguvu, yaani powers, kuna baadhi ya wenzetu wana nguvu, ama kwa kujijua ama bila kujijua, mmoja miongoni mwa wenye nguvu hawa ni wewe!.

Amini usiamini, inawezekana kabisa ni kauli yako hii ndio imemuumbia feleshi u AG!.

Nafanya research ya powerful people wa JF, ili niwakusanye pamoja, mziunganishe powers zenu katika lile jambo langu, ili liwe.
Hongera sana kwa powers, naomba support yako kwenye lile jambo langu!.

Hizo powers kila mmoja wetu anazo, hata wewe unazo, ila wengi hawazitumii powers walizonazo kwa kutokujua kuwa wanazo hizo powers as a result, they just lay in a waste!.

Ili kujipima kama unazo na unaweza kuzitumia, tembelea hapa Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
P
 
Today, I putting them into practice!.
P
 
Mimi ninanguvu ambayo kunasaa inanifanya nipende kutumia muda mwingini nikiwa pekee yangu kwenye mazingira tulivu(mazingira ya asili),kadiri nitakavo jaribu kuishi maisha ya kawaida napata onyo mfano mimi siku nitakayo shiriki tukio lenye mkusanyiko wa watu baada ya hapo nitachoka tofauti na siku nyingine(I feel like I lost energy),ikitokea hivyo itanilazimu nitafute muda wakukaa pekee yangu hasa napendelea kwenye uoto wa asili, napenda wanyama,kuna aina ya vyakula nikila najisikia hukumu.
Maisha yangu nimekuwa mtu wa kuwa mwenyewe maisha yangu iliwapa wazazi shida kunizoea na kunielewa sikuwa mtu wa kuchangama na watu,lakini kuna mambo kwangu yanatokea naona kawaida lakini ukumwambia mtu anashangaa
1)Mimi nikikutana na mtu mgeni kwa mara ya kwanza naweza kujua ni mtu mzuri au mbaya
2)Watoto wadogo wananipenda kwangu nirahisi kutengeneza urafiki na mtoto kuliko mtu mzima
3)Kwa mfano unafanya kitu ambacho kinaniuzi sio lazima nikuambiye nikiwaza tu unakuta mtu anaacha kufanya hicho kitu mfano mtu akiwa anavuta sigara karibu yangu nikiwaza tu huyo mtu anajishtukia tena saa nyingine anaomba samahani
4)Nikiota ndoto nikiweza kuikumbuka mpaka asubuhi lazima inakuwa na maana lakini kuna muda nashindwa kujua tafsiri labda mpaka tukio litokee
 
Iv ishawah kukutokea ukiwa unataka kulala kunasauti znakuj na kuondoka kama minongo'no af uwezi kuelew vinavyo zungumzwa au sura za watu au za mahar ulipoenda kweny mzunguko yak yakila cku ndugu?
 
Iv ishawah kukutokea ukiwa unataka kulala kunasauti znakuj na kuondoka kama minongo'no af uwezi kuelew vinavyo zungumzwa au sura za watu au za mahar ulipoenda kweny mzunguko yak yakila cku ndugu?
Hiyo inatokea mfano kuna mazingira mengine nikipita naweza kusikia minong'o au nikahisi kunawatu wanaongea lakini hawaonekani ila pindi ninaposogea unakuta wananyamaza
 
Kuna namna tunafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…