Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Pasco kuna matangazo ya clouds yanaita watu kwa semuina ya wanandoa
na kuna kitu wanasema 'utajiri thru tendo la ndoa'

naona Pasco unaweza changia hili
Hilo tangazo pia nimelisikia, mmoja wa shiriki ni Aunt Sadaka, huyo ukimsikia ni very powerful woman with full of powers.

Mara yangu ya kwanza kusoma kuhusi hizi PSI Powers ni kitabu cha Arthur C. Clarke's Mysterious World / World of Strange Powers , then nikaja kumsoma [h=3]Uri Geller - "The Power of the Mind vs Science - Uri Geller: Psychic", "Fortune Secrets, na "TheStrange World of Uri Geller".
[/h]Kuhusu Tendo la ndoa na utajiri/umasikini nilimsoma Linda Goodman's Love Signs , uki do na mwanamke mwenye mkosi, utakumbwa na ma balaa, mikosi na umasikini. U do na mwenye bahati, mambo yakunyookea!.

Kipimo cha kujua mwenye balaa, unaona kila dalili za kumkosa zinatokea ila unalazimisha, mara ya kwanza mtapanga siku ikifika anakuja na kukumbia "zimenianza ghafla!", utaahirisha, mkipanga tena mara unajikuta huna pesa za guest au kinatokea kitu, mara ya tatu yuko oke, uko ok, pesa unazo, unazunguka guest/hoteli moja hadi nyingine unakuta vyumba vimejaa!, au unapata chumba, then "co.." hakuna!, ujue hizo zote ni dalili za kukuepusha, ukilazimisha ujue unatafuta majanga!.

Tena usithubutu kutoka bila kuoga ndio makubwa yatakufika, unaweza kupata pancha ya kwanza, hujafika petrol station inapata ya pili, unaweza kupata ajali, au mkosi wowote!, ndio maana timu huweka kambi kabla ya mechi muhimu ili kuzuia wachezaji wasi duu wakaleta mikosi!, japo Ronaldo alikiri huwa ana do kabla ya mecho zote kubwa!.

Tendo la ndoa likitumika vizuri, ni baraka, likitumika vibaya ni balaa!.
Pasco.
 
Mkuu Utali, you have the powers!. Amini usiamini, anapogeuka na kukutazama, powers zako zinamconquer, ukimtuma mhudumu na kumpa number yako ampe wakati akienda washroom, anaweza kukupigia pale pale na kama yuko na mtu mtu tuu asiyenampango, huo mzigo unajibebea siku hiyo hiyo na unaliza kila kitu!.

Hizo powers za kupata kila unachokitaka ni "will powers" na hiyo ndio siri ya mafanikio ya karibu matajiri wote!, inaitwa "uthubutu wa kuamini unaweza!'. Utaweza vipi, au utapata vipi sio issue, ukishaamini, powers zina open up njia zote!. Wakati powers hizo zikifanya kazi kukuletea mafanikio, shetani naye na nguvu zake za giza hachelewi kukupa majaribu, watu wenye kijicho, husda na wivu, watatataka kukukwamisha hata ikibidi kufifisha nyota yako, ili wao ndio waisafirie!, kamwe hawawezi kuzuia rizki, bali wanaweza tuu kuichelewesha!.
Pasco.
 
Kama sijakuelewa hivi, ina maana matajiri wote lazima wawe na huu uwezo.?
Mkuu Kaka, yes, sio tuu matajiri wote, bali binadamu wote wenye mafanikio yoyote ni powers, wengine za kuimba, wengine za kucheza muziki, wengine za kundika, wengine za kutangaza, hata za kuiba, za kuongoza, za kutawala na hata za kudanganya, na kutongoza, za kuongea, za kukwa isha, za kuua atc, kila kitu its "powers!".
Pasco.
 
kinaitwaje mkuu
 

Nimeaona ni kweli, hata hiyo ya pasco nimeona hizo rangi.
 
Nilifuatilia kwa juu juu haya mambo sema sikufika popote kwasababu ya kukosa subira. Kuna hawa monks wanafanya vitu vya ajabu ambavyo science haiwezi kuelezea, kuna yule budha boy alikaa ana meditate kwa miaka bila kula wa kunywa na yupo hai.
Wakuu vipi kuhusu reencanation, mawazo yenu ni yapi hapo?
 
Ngoja naingia Church
nikitoka takupa full version lakini pia angalia post nyingine hapo chini
kwa kuanzia

Mwanzoni ulieleza kwamba uliacha kujifunza njia hii kwa kuwa inapingana na imani yako. Na hata hapa unasema unaenda kwanza chaurch, ila wakati huo uukijitahidi kuwafundisha wengine njia ambayo umenga'mua kwamba haifai labda ungeeleza faida na hasara ya mafundisho hayo.
 

Au kaka ndio maana Steve Jobs yule founder Apple Inc. Kabla ya uzinduzi wa Apple comptures alienda India kwanza kujifunza Buddahism na inasemekana Jobs hakuwa anapenda kuvaa viatu kama Monks. Je kwa elimu uliyoipata wewe uko South hizi dots nazojaribu kuziunganisha hapa zinaweza kuwa ndio mafanikio ya Steve Jobs na Apple kwa ujumla.
Kitu kingine kama ombi binafsi ebu endelea kutupa experince ya uliyojifunza South..um interested kujua more please please please na naweza pata hata soft copy ya hicho kitabu
 
Latinized imani so that it can make sense to the learned fellas.
Kongosho umechungulia huku?
Kiranga, mambo?
Pasco mapepo ni nini?
Mkuu Kaunga, kumbe wewe ni mchokozi fulani, unataka nibalaswe na non belivers humu!, kuna watu unajua fika, they don't belive in anything even God, msingi mkuu wa hizi powers kwanza ni imani, uamini zipo ndipo zifanye mambo.

Mapepo ni spirts, be it holly or demons, ikiwa ni holly spirit inaitwa roho wa Mungu, ikiwa ni evil spirit ndio demons.
Hivyo hata wale wanaonena kwa lugha, pia yale ni mapepo ila yanaitwa Roho Mtakatifu.
Pasco.
 
Kutokana na maelezo ya mtoa mada ni kwamba kila mtu ana kipaji chake na ukikigundua mapema kipaji chako utafanikiwa endapo utakiendeleza wengine wana uwezo wa kimucheza mpira,kuimba,kusoma,biashara,tiba,nk kama hujajitambua kipaji chako na kukiendekeza huwezi kufanikiwa si ndio?mfano wewe una power au kipaji cha biashara lkn ukawa unasoma tuuuuuuu,huwwzi kufanikiwa kwani power yako iko ktk biashara si ndio ?na kuweza kukitambua hicho kipaji (power)chako ni jambo gumu sana lakini unaweza kukitambua pia si ndio?na ndio waliofanikiwa wote vipaji vyao vimeenda sambamba na wanachokifanya si ndioo?mfano messi ana kipaji cha kucheza mpira ukimleta ktk biashara du balaa haendani nayo si ndio?au baharesa ana kipaji cha biashara ukimleta ktk kucheza mpira au kusoma ni mtihani kwake kwani sio kipaji chake au powers.km nimekosea mtoa mada au wana jamvi nirekebisheni
 
Billioness, monks wa Tibet ni habari nyingine!, wanaitwa shaven heads, wanavaa shuka ya orange huku wamenyoa vipara, saa zote wanatembea na tasbihi huku wakifanya mantra!.

Hawa monks kwanza wanatembea peku!, kwenye milima ya ncha kali bila hata scratch miguuni mwao!. Pili wanatembea kwa miguu hadi kilometa 600 kwa siku!, kinachofanyika ni kuonekana kama wanatembea, wakati i actual case wanapaa!, miguu haigusi chini, wanatembea hewani japo wanachapa miguu!. Kula yao pia ni issue!. Wanaweza kupiga 40 days bila chakula, bali ni maji tuu na vijani fulani, wanatumia powers fulani kusimamisha metabolisim na hata ku control heatbeat!.
Hawa monks ni miongoni mwa noble kweli kama aliowazungumza Yesu, hawabebi begi la safari, wala mfuko wa chakula, kila wafanyacho kitajiseti chenyewe mbele kwa mbele, Temple yao iko Kisutu opp. Kisutu Sec.
Pasco.
 
Mkuu Jogoo (kukudume), ni kweli hujakosea. Ila unatakiwa kutumia hizo powers kukifanikisha hicho kipaji chako!. Hata wezi mabingwa pia ni kipaji, cha muhimu ni self realizaji, powers zako ziko kwenye eneo lipi, ukishajua, unabanana napo!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…