Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mada Ya Pawer Mimi Binafsi Siiamini Kwa Sababu Imekaa Kisayansi Inatujengea Dhana Kwamba Hakuna Mungu Na Miujiza Na Maajabu Tunayoyaona Yametokana Na Nguvu Iliyo Ndani Yetu Mimi Naamini Kwamba Imani Inanafasi Kubwa Katka Kupokea Muujiza Na Si Miujiza Yote Inatokana Na Kuamini Kwa Sababu Wapo Watu Unakuta Hana Fahamu Yoyote Namaanisha Kwamba Hawezi Kuamini Wanaombewa Wanaombewa Na Wanapona Mada Zingine Zinaletwa Na Mawakala Wa Shetani Kwa Kuwajengea Mtazamo Kwamba Hakuna Mungu Ukweli Ni Huu Kwamba Mungu Yupo Milele Na Anatenda Miujiza Mada Hiyo Jinsi Ilivyotengenezwa Bila Kutafakari Unaweza Kuamini Mleta Mada Nihisi Ni Wakala Wa Shetani Ambaye Daima Anataka Kuaminisha Watu Kwamba Hakuna Mungu.
 
huvuti mabange kweli wewe? ndio mnafundishwa kuukumu watu... wewe nani kumuita mwenzio wakala wa shetani binafsi nikiulizwa nani kati ya wewe na mleta mada nani wakala wa shetani nitasema wewe maana shetani hujipambia kuwa anaweza kuhukumu mtu... pili huyu sio wakala.wa shetani hata kama ni wakala ningehisi anataka kujua zaidi ndio maana mwisho kasema "njoo tujadiliane" which means kwamba umjuze adichokijua au akujuze usicho kijua...

so la kufanya ulitakiwa umwambie kwambahii kituumetoa wapi maana unakuwa kama mdudu unafunguka tu...

mtu umekuta anaangalia mtu mbele yake umefika ananyoosha mkono anakusontea anakwambia mwiziiii... wewe vile pimbi unakimbia kupiga unaua one of the great thinker anakuja nae anasontewa mwiziiiiiii! yeye anamtizama mara mbili mbili anamuona yule mtu unamalizia kumuua anamuuliza kaiba nini? anajibu kaniangalizia mtihani wangu class.. wewe unadabwa kama panzi halafu unaenda kuwa demu wa nyampala..... uspende kukurupuka mtoto...

tatu wewe ndio wakala wa shetani maana wenye ushetani maana umemuhukumu mwenzio umejifananisha na mungu ingekuwa whatsapp ningekushum maana bado ubongo mchanga....

#Rakims A.K.A TRY ME
 
Mada Ya Pawer Mimi Binafsi Siiamini Kwa Sababu Imekaa Kisayansi Inatujengea Dhana Kwamba Hakuna Mungu Na Miujiza Na Maajabu Tunayoyaona Yametokana Na Nguvu Iliyo Ndani Yetu Mimi Naamini Kwamba Imani Inanafasi Kubwa Katka Kupokea Muujiza Na Si Miujiza Yote Inatokana Na Kuamini Kwa Sababu Wapo Watu Unakuta Hana Fahamu Yoyote Namaanisha Kwamba Hawezi Kuamini Wanaombewa Wanaombewa Na Wanapona Mada Zingine Zinaletwa Na Mawakala Wa Shetani Kwa Kuwajengea Mtazamo Kwamba Hakuna Mungu Ukweli Ni Huu Kwamba Mungu Yupo Milele Na Anatenda Miujiza Mada Hiyo Jinsi Ilivyotengenezwa Bila Kutafakari Unaweza Kuamini Mleta Mada Nihisi Ni Wakala Wa Shetani Ambaye Daima Anataka Kuaminisha Watu Kwamba Hakuna Mungu.
Mkuu Yona wa jina!, kwanza karibu katika uzi huu, pili karibu jf!, tatu kuna powers fulani imekuvuta kwenye uzi huu, kitendo cha kujiunga jf
Join Date : 28th January 2013
Posts : 1

hii ndio posti yako ya kwanza, then sii bure, hapa umeletwa ili ufunguliwe macho!. Na hiyo thanks yako ya kwanza kupata humu jf, imetoka kwangu!.

Sasa twende kidogo kidogo!.

  1. Ili siku Mungu ametuumba, kwa kufinyanga udogo, udongo huo ndio miili yetu, sisi ni mavumbi, na mavumbini tutarudi, ila alipotupulizia pumzi ya uzima, inayoitwa roho, pumzi ile ila nguvu za Uungu, mwili ukifa, unaoza na kurudi kuwa mavumbi, roho haifi, inaendelea kuishi, ndio hiyo itakayokwenda kwenda uzima wa milele, iwe ni mbinguni kwa Mungu, au motoni kwa shetani!.
  2. Hakuna yoyote aliyesema hakuna Mungu, nilichosema humu kuwa wanaodhani Mungu yuko juu mbinguni, hawaujui ukweli, au sijui Mungu yuko hekaluni, au kwa vile kanisani nu nyumba ya Mungu, kwenda kusali kanisani, ndio kumfuata Mungu!, sii kweli, Mungu ni "omnipresence!", yupo popote!, ile pumzi tuliopuliziwa na Mungu, punzi ya uhai, roho, spirit, ndie Mungu mwenyewe, yumo ndani yetu!.
  3. Uwepo wa Mungu ndani yetu, ndio unaotupa uwezo wa kufanya chochote!, unachotakiwa kufanya ni kuwa na "imani" tuu!, hivyo imani hiyo ndiyo milango ya kuufungua uwezo wa Mungu ulio ndani yako kuweza kufanya kila kitu!.
  4. Wale wahumbiri wa uponyaji, miujiza, maombezi, sala, meditation, wanachofanya ili kutenda miujiza, ni kulitumia jina Mungu, ili kuifanye imani yako iliyo ndani yako ifunguke, ndio ilete uponyaji na kutenda hiyo miujiza!, unapopona, kinachokuponya ni nguvu ya uungu iliyo ndani yako, iliyofunguliwa kwa imani yako, hivyo kinachoponya sio nguvu ya yule muhumbiri, au mchungaji, wala sio nguvu ya Mungu kutoka juu, au sijui wapi, kinachoponya ni nguvu ya Uungu iliyoko ndani yako!.
  5. Hakuna aliyesema hakuna Mungu!, Mungu yupo!, ila pia shetani yupo!, kwa msio jua, Mungu ana nguvu, ila shetani pia ana nguvu, Mungu ana nguvu zaidi ya shetani, ila source ya nguvu za Mungu, ndio the same source ya nguvu za shetani!, Hapo mwanzo shetani alikuwa malaika mwenye nguvu number mbili baada ya Mungu. Shetani alipomuasi Mungu, alifukuzwa mbingini, na kutupwa duniani, aliondolewa kwenye ile nafasi ya pili baada ya Mungu, lakini hakunyanganywa zile nguvu, hivyo alipofika hapa duniani ameanzisha ufalme wake wa shetani, na kila siku anashindana na watu wa Mungu!.
  6. Tangu auasi wa shetani, siku zote shetani anapenda kuji disguse kuwa yeye ndiye Mungu, na ndiye aliyemdanya Eva ale lile "tunda" na Eve akamsjawishi Adamu. na ye "akamega" lile "tunda!".
  7. Kufuatia watu wengi kutomjua Mungu wa kweli, na shetani kujidisguise kuwa ni Mungu, ukiwemo uwezo wa kutenda miujiza, kuna wengi wanajikuta wanamtumikia shetani bila kujijua, wakidhani wanamtumikia Mungu, kuna ibada nyingi sana za mashetani, huku waumini wa ibada hizo, wakiamini wanamuabudu Mungu kumbe wanamtumikua shetani!.
  8. Bwana wetu Yesu Kristu alituonya sana kuhusu hawa mawakala wa shetani miongoni mwetu, alisema "watahubiri kwa jina langu " Ni katika Jina la Yesu!", watafanya miujiza, wataondoa mapepo, lakini sii wote wanaoita Bwana Bwana ni wangu!.
  9. Ila pia Bwana wetu Yesu Kristu, ametueleza namna ya kuwatambua manabii hawa wa uongo, kuwa "mtawatambua kwa matendo yao!", kuna makasisi, manabii, wachungaji, wainjilisti, mitume, ambao wanafanya vitendo viovu kwa waumini wao, ikiwemo "kuwalala!", uasherati na kujilimbikizia utajiri!, vitu ambavyo sio vya Kimungu!.
  10. Namna peke ya wewe kumjua Mungu wa kweli, ni kuifungua imani yako na kujua Mungu wa kweli yuko ndani yako, ukiamini hivi, utafunguliwa na utaonyesha mbinu na hila zote za shetani!," seek the truth, and the truth will set you free!".
Pasco.
 
Mada Ya Pawer Mimi Binafsi Siiamini Kwa Sababu Imekaa Kisayansi Inatujengea Dhana Kwamba Hakuna Mungu Na Miujiza Na Maajabu Tunayoyaona Yametokana Na Nguvu Iliyo Ndani Yetu Mimi Naamini Kwamba Imani Inanafasi Kubwa Katka Kupokea Muujiza Na Si Miujiza Yote Inatokana Na Kuamini Kwa Sababu Wapo Watu Unakuta Hana Fahamu Yoyote Namaanisha Kwamba Hawezi Kuamini Wanaombewa Wanaombewa Na Wanapona Mada Zingine Zinaletwa Na Mawakala Wa Shetani Kwa Kuwajengea Mtazamo Kwamba Hakuna Mungu Ukweli Ni Huu Kwamba Mungu Yupo Milele Na Anatenda Miujiza Mada Hiyo Jinsi Ilivyotengenezwa Bila Kutafakari Unaweza Kuamini Mleta Mada Nihisi Ni Wakala Wa Shetani Ambaye Daima Anataka Kuaminisha Watu Kwamba Hakuna Mungu.
Mkuu Yona wa jina!, kwanza karibu katika uzi huu, pili karibu jf!, tatu kuna powers fulani imekuvuta kwenye uzi huu, kitendo cha kujiunga jf hii ndio posti yako ya kwanza, then sii bure, hapa umeletwa ili ufunguliwe macho!.

Pasco acha kukalilishwa bila kutafakari. Ukatae au ukubali lakini ujuwe Dunia hii ina viumbe wa aina mbali mbali, kuna wale wanao onekana kwa macho ya nyama na wasio onekana kwa macho ya nyama. Mfano, binadamu anaonekana kwa macho ya nyama kwa sababu ametengenezwa kwa muunganiko wa "Roho", "Nafsi" na "Mwili" na mwili ndiyo unao onekana kwa macho ya nyama, lakini nafsi ya mtu na roho yake huwezi kuiona kwa macho ya nyama bali utaitambua kwa matendo anayoyafanya "mwili" husika.

Mapepo, Majini, Roho na Malaika wapo na wana roho na nafsi lakini hawana mwili hivyo huwezi kuwaona kwa macho ya nyama. Hivi viumbe visivyo onekana kwa macho ya nyama vinauwezo wa kutu-control sisi binadamu na sisi pia tuna uwezo wa kuvi-control. Inategemea sasa wewe unataka u-control kiumbe gani, pepo, jini, roho au malaika?

Kuvi-control viumbe hivi vinahitaji uelewa maalumu ya nini vinahitaji ili uweze kuwa na mahusiano navyo. Mfano Malaika wanataka uwe mtu safi asiyetenda madhambi, majini yanataka damu nk, mapepo yataka kafara na maagano mbalimbali ili aidha yakufanye mganga au mchawi. Roho za mizimu (ancestors) zinatoka kizazi kwenda kizazi kwenye ukoo wenu, usipo zikataa na kuzifukuza zitakukalia na kuendesha maisha yako. Ukimkaribisha Roho wa Bwana Mungu, atakupa karama (uwezo) wake ili uweze kutenda miujiza kama ya mitume.

Hiyo biashara ya kusema ni uwezo kama supernatural power ni uvivu wa kufikiri!
 
bwana Pasco huu uzi kumbe bado unatembeaga tu,,kuna kaswali kamenijia hapa baada ya kusoma koment yako hapo juu umesema source ya nguvu ya Mungu ndo source ya nguvu ya shetani,
Swali 1; Hiyo source ni ipi na imetoka wapi?
La 2; Unahisi kwanini Mungu hakumuondolea shetani hizo nguvu?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco Pote Huwa Tuko Sawa Ila Inapofikia Suala La SOURCE Ya Power Za Mungu Na Devil hapo huwa unakosea sana...

ndio maana mbumbumbu huwa wanakwambia unahusika na shetani em jaribu kuwa unarekebisha hapo tu...

#Rakims
 
SOURCE YA POWERS ZA MUNGU NA SHETANI:

Mwenyezi Mungu Kabla Ya Kuumba Aliumba MBINGU Na Ardhi Sikuwepo Lakini Ndio Ukweli Ulivyo Kisha Akaumba Viumbe Ambao Ni Malaika Kwa Kuamuru Nuru Yani Mwenyezi Mungu Akisema "Kuwa Jambo Linakuwa" baada ya hapo akaumba mazingira yaani mimea,wanyama,wadudu n.k except binaadamu na majini....

baada ya mazingira ndipo akaumba majini na kuwakabidhi ulimwengu na kuwawekea vipower vya kuwasaidia kuishi duniani hapa... katika kuumba mwenyezi mungu aliwapa malaika akili tu... lakini wanyama akawapa matamanio...

baada ya kuumba majini akawapa vitu viwili matamanio na akili nao aliwaumba kwa moto... baada ya kuwepo kwa wingi wa miaka majini walianza kumuasi mwenyezi mungu...

wakuu siongelei dini ya mtu hapa naongelea kuzitafuta tofauti ya power za mwenyezi na shetani...

Walimuasi Sana Ikafikia SEHEMU mwenyezi mungu akatoa kauli kwamba wakauliwe wote...

majeshi ya malaika wakashuka duniani na kuuwa kila jini waliemuona mbele yao waliwauwa wengi sana lakini kwa kuwa mwenyezi mungu ni mjuaji zaidi katika kuwapa kipower majini aliwapa kipower cha kuingia popote kama moshi bila kupaharibu ndipo hapa walipokimbia wengine kwenye miamba matumbo ya wanyama na baharini ambapo malaika hawana amri ya mungu kufika maeneo hayo...

walipoona wameenda mule walikaa sana majini ndani ya maeneo hayo kwa kuwa majini ni survivals wa miaka mingi waliweza kujificha kwa muda mrefu hadi pale ilipotoka amri ya mwenyezi mungu kwamba waachwe.. wakati vita inaendelea malaika walikikuta kitoto jini(JINI) Hakihusiani kabisa na Malaika NI KITOTO JINI...

Ambacho walikibeba na kumuomba mwenyezi mungu atoe hukumu kuhusu kitoto kile mwenyezi mungu akaamuru kuwa katika majini chenyewe kakiumbia kwa ulimi wa moto sio moto kama majini wengine hivyo alijua mwenyezi mungu kwa nini kakiumba kwa ulimi wa moto akawaamuru wakilee...

baada ya kupita muda mwenyezi mungu aliwakusanya malaika wake na kitoto jini ambacho ndio unaemskia leo shetani au jini wakati bado yupo mtoto mambo haya yanaendelea... mwenyezi mungu akawaambia malaika wake nitamleta kiumbe atakaeishi humo duniani na watazaliana hadi siku ya mwisho....

malaika wakajibu "ewe mola wetu unataka kumleta kiumbe atakae fanya maasi ya kumwaga damu na machafuko katika dunia yako"?

mwenyezi mungu akawaijibu "hakika mimi ninayajua msioyajua yaliopo mpaka ndani ya nyoyo zenu nayajua"

malaika wakamwambia umetakasika ewe mjuzi wa wajuzi...

mwenyezi mungu akamuumba adamu kwa neno kipindi adamu yupo dongo kitoto jini kilikuwa kinachezea mwili wa adamu kwa kuingia mapuani kutokea kwenye kila tundu la mwili....

vile kililelewa kimalaika na kujua historia yake na kukua kikawa kichamungu sana nikisema "abasajda" waislamu wanamjua sana alikuwa ni mwingi wa kusujudu na kumuomba mungu yeye ndo yeye hadi baadhi ya malaika akawashinda..

ilipofika wakati adamu alivyokamilika likalia la mgambo mbinguni na wakaitwa malaika woote na kuambiwa leo ni siku ya kumtambulisha kwenu kiumbe mpya adam niliemuumba kwa udongo nikampa vitu viwili akili na matamanio...

kisha akawaita wanyama wote wa duniani na viumbe wengine na kuwaamuru malaika wawataje ni kina nani??

"malaika wakajibu umetakasika wewe mjuzi wa wajuzi sisi hatujui lolote ewe mola wetu"

ndipo mwenyezi mungu akamuamuru adamu awataje viumbe wale adamu kama tape recorded akaanza kuwaolodhesha kwa majina... lugha aliotumia kuwataja ni moja ambayo tutaizungumza sote siku ya mwisho... wanaijua wachache miongoni mwenu lugha hiyo ambayo haileti maana ukitoa yake herufi hata moja....

baada ya kuwaorodhesha ndipo mwenyezi mungu akawaambia malaika wote wamsujudie ikiwemo abasajda ambae alishasali duniani kila sehemu unayokanyaga wewe yeye alishasali... malaika wote wakaenda chini kumsujudia adamu sasa hapa ndipo jina la shaitwan au shetani ibilis likaanzia hapa kwamba aliehasi... ni vibaya sana na ni machukizo kumuita binaadamu mwenzio shetani maana yeye bado ananafasi ya kutubu kurudi kwa muumba wake ndio maana wewe uliemuita pasco wakala wa shetani ulinikwaza sana kuhukumu nyama hai...

mwenyezi mungu akamwambia ewe ibilis yani ulieasi mbona humsujudii adamu?

kwa majigambo ya umbo ibilisi akasema ewe mola wangu mtukufu siwezi kumsujudia huyo japo tunafanana sifa za matamanio na akili ila umbo yeye ni udongo na mimi ni moto tena ulimi wa moto.....

ndipo hapa mwenyezi mungu akamwambia imelaaniwa na adhabu yako ni moto wa ajabu uwakao

"ibliis akasema nakuomba ewe mola wangu unipe uwezo wa kuniweka hadi mwisho wa dunia na nitawapotosha wote wa kama huyu....

"Ndipo Mwenyezi Mungu Akamwambia Utawapotosha lakini sio wa kwangu na nimekupa nafasi ulioomba lakini laana yangu ipo juu yako na moto uwakao unakusubiri"

kwa mwenye kupenda kisa hiki nitakiendeleza lakini Jibu Lako Mkuu PASCO liko hapa kwamba power ya shetani kapewa kipawa kidogo cha kupumbaza na kuwepo hadi kiama akili na matamanio na inguvu kidogo ya kichawi na aliempa ni mungu...

makazi yako ya shetani utakaa nae motoni na nyote mtakula adhabu ya milele

na

makazi yako na mwenyezi mungu atakuwepo akikuangalia kwa karibu sana peponi na kule hakuna kutubu wala kusali tena ni starehe mtindo mmoja lakini hutamuona mola wako kwa macho daima na hii imani uwe nayo ili siku shetani akikwambia mimi mungu mwambie ametakasika mola wangu asiyeonekana milele...

N.B
Mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu jichungeni.....

#Rakims
 
Mada Ya Pawer Mimi Binafsi Siiamini Kwa Sababu Imekaa Kisayansi Inatujengea Dhana Kwamba Hakuna Mungu Na Miujiza Na Maajabu Tunayoyaona Yametokana Na Nguvu Iliyo Ndani Yetu Mimi Naamini Kwamba Imani Inanafasi Kubwa Katka Kupokea Muujiza Na Si Miujiza Yote Inatokana Na Kuamini Kwa Sababu Wapo Watu Unakuta Hana Fahamu Yoyote Namaanisha Kwamba Hawezi Kuamini Wanaombewa Wanaombewa Na Wanapona Mada Zingine Zinaletwa Na Mawakala Wa Shetani Kwa Kuwajengea Mtazamo Kwamba Hakuna Mungu Ukweli Ni Huu Kwamba Mungu Yupo Milele Na Anatenda Miujiza Mada Hiyo Jinsi Ilivyotengenezwa Bila Kutafakari Unaweza Kuamini Mleta Mada Nihisi Ni Wakala Wa Shetani Ambaye Daima Anataka Kuaminisha Watu Kwamba Hakuna Mungu.

wewe ndo wakala wa shetani sasa kama hujui,,,,,wewe ni wakala wa shetani
 
SOURCE YA POWERS ZA MUNGU NA SHETANI:

Mwenyezi Mungu Kabla Ya Kuumba Aliumba MBINGU Na Ardhi Sikuwepo Lakini Ndio Ukweli Ulivyo Kisha Akaumba Viumbe Ambao Ni Malaika Kwa Kuamuru Nuru Yani Mwenyezi Mungu Akisema "Kuwa Jambo Linakuwa" baada ya hapo akaumba mazingira yaani mimea,wanyama,wadudu n.k except binaadamu na majini....

kwa mwenye kupenda kisa hiki nitakiendeleza lakini Jibu Lako Mkuu PASCO liko hapa kwamba power ya shetani kapewa kipawa kidogo cha kupumbaza na kuwepo hadi kiama akili na matamanio na inguvu kidogo ya kichawi na aliempa ni mungu...

makazi yako ya shetani utakaa nae motoni na nyote mtakula adhabu ya milele

na

makazi yako na mwenyezi mungu atakuwepo akikuangalia kwa karibu sana peponi na kule hakuna kutubu wala kusali tena ni starehe mtindo mmoja lakini hutamuona mola wako kwa macho daima na hii imani uwe nayo ili siku shetani akikwambia mimi mungu mwambie ametakasika mola wangu asiyeonekana milele...

N.B
Mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu jichungeni.....

#Rakims
Mkuu Rakims, asante sana kwa hadithi hii, naomba kuiheshimu hadithi yako, ila kwangu ni mapokeo tuu!.

What is God?, what is God made of?, where did God came from, where is God?!, anaishi wapi?.

Who is devil?, what is devil made of?, where did devil came from, where is devil?!, anaishi wapi?.

Naomba nikujulishe in short kuwa God is powers of the light, what is the source of this pose ni omniscience!. God is Alfa and Omega, hana mwanzo na hana mwisho!, omnipotent, Mahali Mungu alipo ni omnipresent, yupo kila mahali!,
Hakuna kitabu chochote cha dini kinachosema mwanzo wa Mungu wala source of his powers!.

Kama ambavyo haisemwi mwanzo wa Mungu, but the 2nd in command alikuwa ni malaika mkuu Lusiferi!. Huyu ana sifa nyingine zote na powers nyingine zote kama za Mungu, isipokuwa nguvu moja tuu ndio ambayo haya, nguvu ya kuumba na kuondoa uhai!.

The beginning is the same, and the source of powers is the same!.

Shetani alipoasi, alifukuzwa tuu lakini hakunyanganywa powers, unajua ni kwa nini?!.

Pasco
 
"Waambie Waisrael MIMI NIKO amenituma."

I AM ..I AM..I AM(YHVH).

Laiti tungelijua maana ya hilo Jina!
 
Sorry Mate Sio Nakupinga Ila UKWELI Ni Kwamba Lucifer Hakuwa Malaika Alikuwa Ni Jini.. Malaika Wa Mungu Hawapingi Kile Anachosema Mungu Hawakupewa FREE WILLS wao asemacho mungu ndio hicho hicho kwa.. Lucifer Ana Material Ya Moto Ndio Maana Aliweza Kupinga Maana Alipewa FREE WILLS....

Source Ya Mungu Ni Nyingine na anaijua yeye tu Mkuu..

Lucifer Hakujiumba Aliumbwa na mungu kwa hiyo usiseme mwanzo wa mungu ndio wa lucifer....

kwamba wanazidiana nguvu hiyo haipo mungu ni alpha na omega kama ulivyonena sasa kama ni alpha na omega means vingine vyote vipo chini yake tena havimkaribii hata robo.....

"Rakims"
 
Back
Top Bottom