Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Na kweli tumerudi eti! Enzi zileee...
 
Mkuu Agent-47 , karibu pande hizi
P
 
Kuna kitu kwenye uzi huu kumhusu Rais Samia, sisi ma trends reader tunakijua na tunakiona, lakini sikukitaja, ila nilikitolea angalizo kuwa mtu mpole wa aina hii, akitibuliwa, JPM ataonelana alikuwa ni malaika!.

GenzZii wamemtibua, hivyo sasa awamu hii yake ya pili, hicho kitu ambacho sikukisema, kitatokea na nikijaaliwa ule uthubutu wangu wa enzi za Magufuli, then nitakisema.

Japo marehemu huwa hawasemwi vibaya, ila Nyerere katika kipindi cha miaka 24 ya utawala wake, ali sign death warrants 3, ya kwanza sijui ni ya nani, ya pili ni ya Mwamwindi na ya tatu ni ya muhindi mmoja alikata premium life insurance yake, mkewe na watoto, kisha alawaua wote mke na watoto wake wawili, miili akaisweka kwenye gari, akaipeleka usawa wa korongo, akamuweka mke kwenye usukani, akaimwagia petrol na kuisukumia korongoni, kisha akaenda kuripoti polisi kuwa mke na watoto hawaonekani. Walipopatikana ikaonekana ni ajali tuu ya kawaida, baada ya msiba jamaa akatinga bima kudai bulungutu lake, ndipo deal ikashtukiwa.

Rais aliyemfuati Nyerere alikuwa ni Mzanzibari na mpole kama Samia, katika kipindi cha miaka 10 yake, Watanzania 264 waliohukumiwa kunyongwa, walinyongwa!, hivyo hawa watu waoneni hivi hivi!.

Aliyemfuatia ni Mkapa hakusaini hata hati moja!, Aliyemfuatia ni Kikwete hakusaini hata hati moja!. Aliyefuatia ni JPM, hakusaini hata hati moja, ukiondoa zile za kikazi zaidi!, sasa tuna Mzazibari mpole tena, ila ametibuliwa kwa kukataliwa, ameforce kingi, ametangazwa na ataapishwa!, sasa subirieni muziki wake, ndio ile kitu ambayo sikuisemaa na siisemi, ila...

Mungu Saidia

Mungu Ibariki Tanzania

P
 
Pasko pamoja na hiyo shahada ya sheria ya masomo ya jioni umeshindwa kuitumia kupata riziki hadi urambe mataaako ya watu? Uchangudoa mwingine haukufai. Kawambie huo utumbo wako Gen Z. Kama ndo utuezi wa kujivua nguo wengi mtageuuzweeni bure. Bazwele Nkosi yami baba.
 
LL.B yangu ni ya UDSM ya zamani, ukiondoa LL.B ya open university, hakuna LL.B yoyote ya evening class!, ni full time!.
P
Ya OUT ni nini? Acha uhuni. Huwezi kuwa na LLB ya kweli ukajiachia na kujidhalilisha kwa kujikomba? Angalia wanasheria kama akina Kibatala, Lissu na wengine wanavyotuheshimisha sisi wanasheria. Uongo mwingine si wa kitoto bali kifaaaala sana hasa kwa mtu mzima mwenzangu.
 
Tuna safari ndefu, sina shida na message.

Lakini kwanini uweke scientific terms ambazo apparently huna hata elementary knowledge nazo; walau kwa mtiririko wa maelezo ya main posts.

Do you even understand the usefulness of psychoanalysis in psychology applications it has no correlation na ujinga ulioandika.

Its main use is dealing with phobias, sio huo ujinga uliondika.

Hata mnasoma basi na kujifunza mambo mnayoandika.

Not sure you understand how unscientific Sigmund Freud methods were.

As for the main post, umeandika ujinga mtupu if applied to the theory; there is correlation to your following points.

But then you can get away with nonsense in JF. Otherwise in the real world ni ujinga mtupu.

You don’t even understand ‘psychoanalysis’ kwa upupu ulioandika na wala ujawahi kusoma kitabu cha psychology.

That’s obvious kwa upupu ulioandika. Huko kwenye kuji-entertain na upuuzi nawaachia wenyewe.

Advise go read and understand the theory before writing nonsense and attach it the theory.

You can’t just write stuff from the top of your head and get away with it, when it’s clearly you don’t have the basic understanding of the theory,
 
Lord Quimby, I can't agree with you more. Some half-baked people arrogantly and ignorantly write things foolishly intending to and thinking they can intimidate or hoodwinking others. If indeed Pasko is a lawyer, I would recommend to him to visit legal psychology about how people commit crimes like those Samia has committed against the mass. I see no difference mentally and psychologically between Hitler, Idi Amin, Pol Pot and his beloved Samia whose butts he has always kissed and licked. What an academic fag!
 
In this instance he doesn’t even understand psychoanalysis.



Hiko ni basic psychology book ninachosoma (na hao ndio main theory drivers) there are more theories and theorists than those in the real world.

That’s the only psychology book which I have and it covers the basics of psychoanalysis. But then Psychology has seven main school of thoughts.

Msingi wa psychology ya Freud ni
(psychoanalysis) sehemu kubwa ya conclusion yake sio scientific na application za theory ya ni kwenye maswala ya Phobia.

Psychoanalysis has little implication in terms of behaviour psychology huko kuna kina (Pavlov na Skinner).

Ni hivi Tanzania the so called wasomi wanatabia ya kujiandikia ujinga na wana audience ya ku-support maandishi yao ya ujinga.

Paskali hana analolijua kuhusu Psychology.

Alichoandika in relation to psychoanalysis ni ujinga mtupu.
 
Nashangaa amesoma sheria ipi hasa ikizingatiwa kuwa nimeisoma hiyo sheria mbali na kusomea mambo mengine mengi. Sijui. Kweli, sijui. Naamini naye anaandika na kutumia asichojua. Huenda hajui kuwa hajui.
 


Acha ujinga, Samia ataenda jela.
 
Hata kwenye sheria tunayo hasa kwanini watu fulani hutenda makosa fulani mkuu.
Kiongozi mada ya sheria ntajadili sheria kwa upande wangu.

Na mada ya Psychology ntaongea maswala ya topic husika.

That is to say nachangia kutokana na topic ya mada.

Otherwise I am not bothered with personal attacks with people I don’t know in this world. I don’t do personal attachments in a virtual world.
 
Acha ujinga, Samia ataenda jela.
Hakuna ubaya mtu kuwa a wishful thinker, ila think yale mambo yenye uwezekano wa kuwezekanika, sio kuwish ndoto za Alinacha na mambo ya utopian!.

Rais mteule ameisha tangazwa, anasubiri kuapishwa, akisha apishwa, ni Rais wa JMT. Hakuna chochote wala lolote mtu yeyote anaweza fanya isipokuwa YEYE Pekee!.
P
 

Tate Mkuu Uliona mbali sana!!
 
Hizi sifa bado anazo kweli! Maana angekuwa yupo humu jukwaani, angepita na kusoma hiki ulichokiandika hapa, basi kuna kitu angejifunza!
 
HBD Rais Samia Suluhu Hassan.

P
 
Kwenye uzi huu nilitoa angalizo fulani na kuna kitu sikukimalizia ila kuna kitu Imma kazengua, natamani kukijua!.
Anayejua kosa la mtu huyu ni nini atushirikishe tujue maana...

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…