Punda wa Tanzania hawana mtetezi?

Punda wa Tanzania hawana mtetezi?

Mkuu, ulishawahi kusimamia uchungaji wa ng'ombe pamoja na mifugo mingine?
 
Mkuu, ulishawahi kusimamia uchungaji wa ng'ombe pamoja na mifugo mingine?
Mimi nilishawahi kuwa mchunga ng'ombe wa nyumbani nikiwa mdogo.

Nilishawahi kuwamiliki mbuzi kadhaa na kondoo wachache nilipokuwa Sekondari.

Nilishawahi kuwa mfugaji wa kuku wa kienyeji nilipokuwa mvulana mdogo. Niliwapenda sana na wenyewe wakaniamini. Nilikuwa naweza kuwaita wakaja mbio niliko. Walikuwa huru kwangu kiasi cha kuweza kula chakula kilichopo mikononi mwangu. Kabla ya kuhitimu darasa la saba, nilikuwa ninaongoza mtaani kwetu kwa kumiliki kuku wengi.
 
Hii mijibwa yetu inaishi kwa hofu kwasababu ya mitanzania ina roho mbaya. Kuna mmoja tulikutana naye nikainama kufunga kamba za viatu alitimua mbio balaa alidhani naokota jiwe kumpiga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkaldayo acha tu huku mbwa ni mwanafamilia. Mbwa anathamani kuliko mwafrika. Mbwa analala ndani. Mbwa ana passport. Mbwa ana fungu lake kabisa kwenye bajet.
Khaaaaaah!!
 
Tunashindwa kutetea Binadamu wenzetu kwa kuwakamua na kuwabana na matozo yasiyo na tija na kuwabebesha madeni mpaka vitukuu unategemea tuna muda wa kutetea Punda ?

Ni huyu Binadamu tunayemuelewa ambaye hapo nyuma alifanya binadamu wenzake kama watumwa ? Au ni Binadamu yupi unayemuongelea wewe
 
Sijafika huko mkuu. Hata niliowaona Kanda ya Ziwa, ni kwa bahati tu. Pengine, kuna maeneo mengine Tanzania ambako ama wanawajali sana punda au wanawatesa zaidi ya nilivyoona kanda ya Ziwa.
Majuzi hapo nilipokuwa Unguja nimeona punda akivuta mkokoteni ukiwa na matofari plus jamaa wawili wapo juu ya zile tofari. (Nilichelewa kupiga picha)

Kitu ambacho kilitaka kunibadilisha haraka nijiunge na watetezi wa wanyama ni jinsi jamaa aliyekuwa anamuongoza alivyokuwa anambamiza na gongo 😢 not fimbo gongo, nilipata simanzi 😞 sana.

Kiufupi waafrika pamoja na kuwa tunaiga uzungu au uarabu lakini bado tupo stone age, wakati hao tunaowaiga wanamfanya mnyama atumie sisi ndiyo tunatumika na wanyama.
 
Asante mkuu. Umenipa wazo zuri. Kwa muda ambao bado nipo ukanda huu "uliobarikiwa" utajiri mwingi, mpaka wa punda, nitakuwa nikichukua picha kila nipatapo fursa, halafu nije kuzirusha humu muone jinsi baadhi ya wenzetu wanavyowakatili viumbe vinavyowanufaisha.
 
Juzi niliona trela limebeba matofali na punda wanavuta, wakafika kwenye kilima, punda wakawa wamezidiwa wanahangaika nalo

Yule jamaa na mwenzake hawakushuka ndani ya trela ili wawasaidie kusukuma badala yake wakawazidishia mijeledi mizito mpka nikaona huruma nusura chozi linitoke.

Kiukweli nilisimama kama dakika 2 naangalia unyama ule,

WASUKUMA NI KABILA LA HOVYOOO SANAA
 
Back
Top Bottom