Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baiskeli zinajaliwa kuliko punda. Baiskeli ikishindwa kupanda mlima, mwendeshaji anashuka na kuangalia sababu. Lakini punda akionekana kupunguza Kasi ya kupanda mlima, huzawadiwa "mijeledi".Juzi niliona trela limebeba matofali na punda wanavuta, wakafika kwenye kilima, punda wakawa wamezidiwa wanahangaika nalo
Yule jamaa na mwenzake hawakushuka ndani ya trela ili wawasaidie kusukuma badala yake wakawazidishia mijeledi mizito mpka nikaona huruma nusura chozi linitoke.
Kiukweli nilisimama kama dakika 2 naangalia unyama ule,
WASUKUMA NI KABILA LA HOVYOOO SANAA
Siyo kila mhenga ana akili. Huenda mwanzilishi wa huo usemi alikuwa mhenga mjinga.Punda bila fimbo haendi wahenga walisema
Wanatetea nini mkuu? Wapo wapi?Watetezi wapo, ila wanatetea vitu vingine...
Wanatetea matumbo yao...Wanatetea nini mkuu? Wapo wapi?
Unashangaa kupigwa. Kuna wengine wanaingiliwa kimwili,Nimeona Misungwi mkoani Mwanza na Geita Vijijini mkoani Geita!
Akiwa amebeba mizigo, anapigwa!
Akiwa analimishwa, anapigwa!
Akiwa anakokota mkokoteni, bado anapigwa!
Ni kama vile "lugha" pekee wanayoijua ni kipigo!
Utakuta wengine migongoni mwao kuna michubuko iliyotokana na ama kubebeshwa mizigo mizito au vipigo vya binadamu "wajinga"
Kwani haiwezekani kutumia njia nyingine kumfanya afanye kazi bila kujeruhiwa?
Kwani kipigo ndiyo njia pekee ya kumfanya punda kutimiza matakwa ya mmiliki wake?
Mbona kwa nchi zingine, hata tembo wanatumiwa kwa shughuli za kibinadamu katika mazingira rafiki tofauti na inavyotendeka kwa punda wa Tanzania?
Je! Punda amemkosa mtetezi? Simba, tembo, chui, fisi, mpaka na nyoka, wote hao wanalindwa na Serikali. Punda hana maslahi kwa Serikali?
Tanzania haina watetezi wa wanyama, au utetezi wao unaishia kwa nyangumi?
Kwa nini isijitokeze taasisi itakayotoa Elimu kwa wamiliki wa punda ili wajue jinsi ya kuwatumia kwa manufaa bila kuwasababishia mateso?
Au wanauishi ule msemo wa "bora punda afe" lakini mzigo ufike.Punda bila fimbo haendi wahenga walisema
Hivi punde nimepewa na mwenyeji wangu taarifa inayotia moyo kidogo.Usicheze na wasukuma wewe.
Labda, hata mimi niliusikia huo usemi tokea nikiwa mdogo.Au wanauishi ule msemo wa "bora punda afe" lakini mzigo ufike.
Niliona jinsi wanavyobeba mawe plus mikwaju.Nime
Hivi punde nimepewa na mwenyeji wangu taarifa inayotia moyo kidogo.
Inasemekana, Serikali ya kijiji huku niliko muda huu imepiga marufuku punda kufanyishwa kazi siku nzima bila kupumzishwa. Kwa Asubuhi, mwisho wa kufanya kazi ni saa tano Asubuhi. Awamu ya pili ya kazi ni kuanzia sasa kumi Jioni. Mtu akionekana akimtumikisha punda nje ya huo muda hukamatwa.
Kwenye eneo la kufanyishwa kazi muda mrefu, punda wa huku wamepata utetezi, lakini kipigo kipo pale pale.
Sijui kama wa Shinyanga wanateseka kama wa Geita Vijijini.Niliona jinsi wanavyobeba mawe plus mikwaju.
Duuuhh Shinyanga noma
Na mwingine ukimkasirisha, anakutukana, "mbwa wewe!"Mbwa akipita tu utaskia
"Nipe jiwe, nipe jiwe"
Piga picha za kutosha zitunze kwa ajili ya baadaye, zitaleta mrejesho.Asante mkuu. Umenipa wazo zuri. Kwa muda ambao bado nipo ukanda huu "uliobarikiwa" utajiri mwingi, mpaka wa punda, nitakuwa nikichukua picha kila nipatapo fursa, halafu nije kuzirusha humu muone jinsi baadhi ya wenzetu wanavyowakatili viumbe vinavyowanufaisha.
Kwa nini siyo ng'ombe au mbuzi?Nimeona Misungwi mkoani Mwanza na Geita Vijijini mkoani Geita!
Akiwa amebeba mizigo, anapigwa!
Akiwa analimishwa, anapigwa!
Akiwa anakokota mkokoteni, bado anapigwa!
Ni kama vile "lugha" pekee wanayoijua ni kipigo!
Utakuta wengine migongoni mwao kuna michubuko iliyotokana na ama kubebeshwa mizigo mizito au vipigo vya binadamu "wajinga"
Kwani haiwezekani kutumia njia nyingine kumfanya afanye kazi bila kujeruhiwa?
Kwani kipigo ndiyo njia pekee ya kumfanya punda kutimiza matakwa ya mmiliki wake?
Mbona kwa nchi zingine, hata tembo wanatumiwa kwa shughuli za kibinadamu katika mazingira rafiki tofauti na inavyotendeka kwa punda wa Tanzania?
Je! Punda amemkosa mtetezi? Simba, tembo, chui, fisi, mpaka na nyoka, wote hao wanalindwa na Serikali. Punda hana maslahi kwa Serikali?
Tanzania haina watetezi wa wanyama, au utetezi wao unaishia kwa nyangumi?
Kwa nini isijitokeze taasisi itakayotoa Elimu kwa wamiliki wa punda ili wajue jinsi ya kuwatumia kwa manufaa bila kuwasababishia mateso?
Sina uhakika, ila nakisia tu. Kwa sababu ng'ombe na mbuzi ni chakula - maziwa & nyama. Ndiyo kusema, chakula "kinaheshimika" zaidi.Kwa nini siyo ng'ombe au mbuzi?