Punda wa Tanzania hawana mtetezi?

Sifurahii alichofanyiwa huyo mtu, lakini nafikiri alijifunza somo.
 
Nimeona clip moja jamaa kampiga punda mateke na makofi, bana wee si kakosea mguu ukaingia mdomoni mwa punda, punda kaanza kimbia, jamaa analia vilio vyote punda hajali
Punda aliamua! Kama alipona, sidhani kama atakaa arudie.
 
Kama raraa reree ni Mwalimu, basi wanafunzi wake "wanafaidi" sana tiki zake! Si mchoyo wa kutoa tiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…