Punguzeni kuomba, wote tunafanya kazi Kipato sawa

Punguzeni kuomba, wote tunafanya kazi Kipato sawa

Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea, Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai.
Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi mshahara, Punguzeni kuomba nunuliwe Breakfast,
Na ukifika Mchana pia kama Kawa mda wa luch mnajifanya kutia huruma Ili tu mnunuliwe msosi.
Kuna mwenzenu kashaniita bairi kisa tu nimekataa kumnunulia chai.
Pesa zenu mnazifanya za malengo za wenzenu ndo za kutumia.
Kataa huo ujinga rafiki yangu!!
 
Na kuna wale wamepack magari nyumbani Kwa kupunguza gharama
Au hawajanunua kabisa magari.

Ila kila siku ni kudandia lift yako, na mbaya zaidi kutwa wanawaponda watu wanaoweka mafuta kwenda kazini kuwa wanatapanya hela na hawana mahesabu ya maisha!!
 
Nimemchana, acheni Ujinga mnatunza pesa zako chai utumie pesa za wenzio... Hii Tabia ni ya kishenzi....
Mpaka ananiita Bairi, okey Mimi bairi wee ambae sio bairi umenunua Nini.
Mbona kama umechanganyikiwa?huyo demu yupo huku? Umepanic? Mpe majibu hapo kwako brother,..
 
Back
Top Bottom