Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kuna wabongo wengi wanapenda kukupangia bajeti kwenye hela zako, halafu ukikataa wanakunyanyapaa kukuita mbahili.Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea, Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai.
Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi mshahara, Punguzeni kuomba nunuliwe Breakfast,
Na ukifika Mchana pia kama Kawa mda wa luch mnajifanya kutia huruma Ili tu mnunuliwe msosi.
Kuna mwenzenu kashaniita bairi kisa tu nimekataa kumnunulia chai.
Pesa zenu mnazifanya za malengo za wenzenu ndo za kutumia.