Punguzeni kuomba, wote tunafanya kazi Kipato sawa

Kataa huo ujinga rafiki yangu!!
 
Na kuna wale wamepack magari nyumbani Kwa kupunguza gharama
Au hawajanunua kabisa magari.

Ila kila siku ni kudandia lift yako, na mbaya zaidi kutwa wanawaponda watu wanaoweka mafuta kwenda kazini kuwa wanatapanya hela na hawana mahesabu ya maisha!!
 
Nimemchana, acheni Ujinga mnatunza pesa zako chai utumie pesa za wenzio... Hii Tabia ni ya kishenzi....
Mpaka ananiita Bairi, okey Mimi bairi wee ambae sio bairi umenunua Nini.
Mbona kama umechanganyikiwa?huyo demu yupo huku? Umepanic? Mpe majibu hapo kwako brother,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…