Punguzeni kuomba, wote tunafanya kazi Kipato sawa

Kuna wabongo wengi wanapenda kukupangia bajeti kwenye hela zako, halafu ukikataa wanakunyanyapaa kukuita mbahili.
 
Kuna taasisi moja kubwa nilikuwa najitolea pale na inajulikana hivyo na staff wote ila kuna dada mmoja alikuwa mstari wa mbele kuomba lunch, nikawa namtafakari sana kuna siku nikamwambia aache kunitukana indirect, tabia yake ikakomea hapo.
 
Ndugu kitu nilichoandika Hapa, mm ninauzoefu Sehemu 2 Ktk mahofisi na Biashara hii Tabia ya kuriabiana Budget Iko sana, tunaenda kupata kitu Chakula unaamishia Budget yako kwa mwingine, hata baadhi ya watu mkiwa mnafanya Biashara wao wanapenda kutumia za wenzao za kwako za kunza wachumi kinoma
 
Hawajui kuwa watu wana bajeti zao, na wanaona ni haki yao kufanyiwa hivyo.
 
Wanajiachia sana sikuizi, hawana aibu tena😃😃
Swala pesa yako, unatumia ktk nn Why niwe mtumwa wa kukununulia chai na Chakula kila siku, inakuaje kuhusu Mimi na mahitaji yangu, niaribu budget yangu kwa ajiri yako, je, wewe unaweza aribu budget yako kwa ajiri yangu Jibu ni No, Sasa mimi ndo niwe mjinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…