Punguzeni kuomba, wote tunafanya kazi Kipato sawa

Punguzeni kuomba, wote tunafanya kazi Kipato sawa

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea.

Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai.

Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi mshahara, Punguzeni kuomba nunuliwe Breakfast.

Na ukifika Mchana pia kama Kawa mda wa luch mnajifanya kutia huruma Ili tu mnunuliwe msosi.
Kuna mwenzenu kashaniita bahili kisa tu nimekataa kumnunulia chai.

Pesa zenu mnazifanya za malengo za wenzenu ndo za kutumia.
 
Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea, Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai.
Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi mshahara, Punguzeni kuomba nunuliwe Breakfast,
Na ukifika Mchana pia kama Kawa mda wa luch mnajifanya kutua huruma Ili tu mnunuliwe msosi.
Kuna mwenzenu kashaniita bairi kisa tu nimekataa kumnunulia chai.
Ni wanawake au wanaume??
 
Ukiandika "acheni" unamaanisha tulikuwepo na sisi wote?Na hilo neno "bairi" unamaanisha nini wewe ajira mpya?
Wala mi Niko ktk kazi mda ila hii Tabia naijua watu wanapenda Ganda la ndizi, unauita mtu Bahiri kisa tu ajaingia ktk mfumo wako.
Ukiona mtu anakuita Bahiri Jua ujajaa ktk mfumo.
 
Back
Top Bottom