Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Hebu sahihisha kauli zako kwanza, inaonekana ni story ya kutunga! ina maana huyo bwana alianza kupiga nyeto akiwa just five years!!!???

aachane na nyeto halafu awe anakula kitunguu maji kikubwa kila siku kwa siku 30 ngoma itarudi kama kawa
 
thanks guys!

Tatizo hapo ni Psychological...lipo kichwani...anakua na hofu..baada ya muda fulani atazoea..nikuwa mwazi tu kwa mpenzi wake, kumweleza kwamba hajafanya sikunyingi na inakua ni hofu tu//// dawa zinaweza kusaidia lakini zitumiwe kwa muda mfupi tu kuongeza confidence!!! Ni PM kwa ushauri zaidi
 
Huyo ana matatizo ya kisaikolojia zaidi, anakuwa na hofu...
 
Tatizo hapo ni Psychological...lipo kichwani...anakua na hofu..baada ya muda fulani atazoea..nikuwa mwazi tu kwa mpenzi wake, kumweleza kwamba hajafanya sikunyingi na inakua ni hofu tu//// dawa zinaweza kusaidia lakini zitumiwe kwa muda mfupi tu kuongeza confidence!!! Ni PM kwa ushauri zaidi
thanks
i will for me advice
 
SIO matatizo ya kisaikolojia tu labda alishalegeze mishipa ya uume sababu ya punyeto ndo maana haisimami mwambie aache kupiga nyeto na akaonane na wataalamu watamshauri zaidi. Mh ila na yeye ana roho ngumu kapiga nyeto miaka yote iyo uuh, kama vipi akishindwa hii option basi option ingine ni "do nothing" yaani aendeeleee tu na kutumia mkono.:washing:
 
Faida za kujichua/chezea:

1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)

2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.

3)Kujua "vipele vyako viliko".

4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.

5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.

Madhara ya kujichua/chezea:

1)Hakuna tatizo lolote kutokana na kujichaua kiasili.
Hata hivyo, kujichua kupita kiasi kunaweza kusababisha kupoteza hisia uume halisi.

2)Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos kunaweza sababisha kusamburuka kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea "dubwana" hizo, kifo kutokana na "shock" ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha "dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo" kuingia.

I love nyeto ohooo sitaki ub we ge in ma life lol :lol::lol::lol::lol:
 
Yap kupoteza hamu ya kuwa na mwanaume
Mmmmhbhh..
Umesahau saved u a lot of time
 
Faida za kujichua/chezea:

1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)

2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.

3)Kujua "vipele vyako viliko".

4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.

5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.

Madhara ya kujichua/chezea:

1)Hakuna tatizo lolote kutokana na kujichaua kiasili.
Hata hivyo, kujichua kupita kiasi kunaweza kusababisha kupoteza hisia uume halisi.

2)Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos kunaweza sababisha kusamburuka kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea "dubwana" hizo, kifo kutokana na "shock" ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha "dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo" kuingia.

WE UMEJUAJE?😛hoto:
 
Back
Top Bottom