Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au Juche (ile itikadi ya Kim II Sung) ambayo ilisisitiza self-reliance and self-dependence, yaani kujitegemea!Great thinker tunaita Punyeto Kama Assisted Sexual Intercouse (ASI)
yaa kidole chako cha kati kile kirefu kitakusaidia while in private, mm mwanaume unaweza kuni pm pia nikakufundisha
itakuwa vyema ukilitendea kazi hiloooo,nimekusoma mkuu!! kuanzia leo naacha puli
huko addicted wewe nyie ndio mkilala na demu mnakosa nguvu za kuchapa mzigo nguvu kwishneyNimejarbu kustudy mind za watu wengi hasa kwny nyeto.watu wanaifanya sana kwa sasa kama njia ya kuJiridhsha kmapenz kwa sababu mbalmbal.weng wanatumia mikono yao mean vganja na sabuni..leo nawapa styl mpya mana iyo local sana.!..lala kwa tumbo,Weka mikono yako mithl ya unacheza gofu...v shape,.panda ju kdg,weka mjamaa tayartayar muingze between ur hands,2mia kilainish eg mate...then kata mauno..utam c wa kawaida.warning..mara 1 tu kwa wk pale mamsapu hayupo...tupambane na ukimwi kadr tuwezavyo..
Fanya zoezi, jishughulishe hamu itaondoka kabisa. Nyeto haifai kabisaaaa, inadhoofisha afya yako.
Acha kujidanganya wewe hata haidhoofishi, mbona mi napiga sana na mambo shwariiiiiiii,
Kujichua ndugu wana JF hakuna madhara ya moja kwa moja.
Tafiti zinaonyesha kwamba hakuna madhara physical ambayo mtu anaweza kuwa anayapata, labda pale ambapo utafanya tendo hilo vigorously au bila kutumia lubricants unaweza kupata michubuko.
Tatizo kubwa la kujichubua ni emotional au psychological ambalo hutokana na mtu kuji-feel guilty baada ya kufanya tendo lenyewe kwa sababu tendo hili linaonekana baya katika jamii. Kitu kingine ambacho mimi ndio naona kibaya zaidi ni kwamba unapojichua huwa unafikiria kupata raha peke yako hivyo hata wakati wa kufanya mapenzi na mwenzi wako hutawaza kumpa raha na mpenzio utakuwa unataka wewe upate raha peke yako na hii inaweza kuathiri uhusiano wenu.
Sina uhakika sana kama tendo la kujichua limekatazwa moja kwa moja kwenye biblia au quran lakini katika biblia kuna mtu aliuawa kwa kumwaga shahawa zake nje, kwa hiyo nadhani hata kiimani tendo hili halikubaliki.
Utafiti pia unaonyesha kwamba kufanya tendo hili kwa zaidi ya mara tatu kwa wiki kunaleta addiction, kwa hiyo utakuwa wewe ni mtu wa kujichua tu na hasa kama ukiwa peke yako na kuacha kufanya au kufikiria mambo mengine, na pia hutakuwa unamfikiria sana mpenzi wako na hivyo waweza kuharibu uhusiano wako kwa kuwa utapenda zaidi kujichua kuliko kufanya mapenzi na mpenzi wako.
Nakushauri jitahidi sana uache, hutaona madhara yoyote physical, nguvu za kiume zitakuwepo kama kawaida lakini in a long run, guilty feelings na addiction vitakuathiri ndugu yangu.
Kuacha ni rahisi, acha kuwaza sana ngono, epuka kukaa peke yako muda mwingi, epuka vitu ambavyo vitakufanya ufikirie ngono kama kuangalia pornographic movie au picha za uchi, na pia omba sana Mungu atakusaidia utaacha, zinapokuja tu fikra za kufanya tendo hilo mwambie Mungu apitishie mbali hayo mawazo utaacha.
Faida za kujichua/chezea:
1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)
2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3)Kujua "vipele vyako viliko".
4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.
Madhara ya kujichua/chezea:
1)Hakuna tatizo lolote kutokana na kujichaua kiasili.
Hata hivyo, kujichua kupita kiasi kunaweza kusababisha kupoteza hisia uume halisi.
2)Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos kunaweza sababisha kusamburuka kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea "dubwana" hizo, kifo kutokana na "shock" ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha "dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo" kuingia.
Haa haa haaa umenivunja mbavu!Mrudie Muumba wako! Miaka 19 bado mdogo sana wewe epuka pepo la ngono