Punyeto ni nini na nini madhara yake?
iza we ni nomaa na theory zakoo.nimekubalii
ila full madhara ya nyeto ni haya

HAYA NDIYO MADHARA YANAYOLETWA NA NYETOO.so its not safe n i have done reseach through internet.
achenii jamanii.bora mtafute wakeee.


Wanaume wengi sana wanatumia mikono mikavu kujisaga, jambo hili huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.

Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa khasa akikutana na mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.

Jambo jingine hatari linalo mkabili mpiga Punyeto ni upotevu wa hisia wakati wa kujichua kwa mfano ili afike kwenye kilele lazima akuze hisia zake kwa kiwango cha juu, pengine kupita ukweli halisi ataokutana nao pindi atakapokuwa na mwanamke faraghani.

Mpiga Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama Miss World kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta Uume wake husimama kwa kiwango cha chini sana.

Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwana sana na kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho, madhara mengine makubwa khasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku ni kushidwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wa uzazi.




IN ENGLISH VIEWERS

Is masturbation harmful?
This question may not be important to every one esp if you have not started masturbation or you do not do it frequently. However if you are very excited about sex (and masturbation), you should bear in mind that masturbation is harmful. This question is quite controversial because many people including doctors say it is not harmful at all and as a matter of fact they say it is very healthy. But there are a lot of other people like 'hakims' and common people who say it is harmful. Knowing the point of views of both the people and being a person who has been affected by it, i can tell you that masturbation is harmful. However i do not want you to get scared of it. The harmful effects of masturbation are slow and spans on a long duration of time. Say if you are masturbating 2 times a day every day for two years, you will get yourself in trouble. Only then will you know that you got some problem because of masturbation. I have mentioned in detail the problems of over masturbation (or too much masturbation) in the left column of the page. Bear in mind that I DO NOT support hakims. If you have already got problems with masturbation, You should consult any doctor.
The harmful effects of masturbation include discharge of semen when u think about girl, reduction in penis size, tapering of penis in the base, reduced erection size, reduced amount of orgasm and the worst of all premature ejaculation. All of these problems are a big problems by themselves but thinking that they all are caused because of too much masturbation, i will say that masturbation is harmful.
Now there is a question, i masturbate for a long period of time and am continuing it without any worried and one day i found out that i have all these problems ( that i leek when i think about girls and my penis has shrinked in the base and i ejaculate too early and can not control my self). In my case I was totally ignorant of the effects of masturbation, I found out when a friend of mine told me about this which scared me to death. He gave me a pamphlet which said that ever masturbation will cause these problem and you will not be able to satisfy your wife and hence it will cause your marriage to break. At this i was scared to hill because i used to masturbate. When i went home and i thought about girl and thought about checking myself ( even though i was scared because i did have that problem what would i do?). I check the tip of my penis scarily and i noticed that i was leaking. Then when i had looked at my penis, it had also shrunk in the base. Eventually everything that was their in the pamphlet came out true for me. So in my case it was ignorance and lake of sex education. Secondly since i never had any sexual activity with any one i did not know much about it. Hence i would the big culprit in this case is ignorance. You are doing something and you do not know its effect because either you just enjoy it and no one else informs you about that. No one ever told me a single word about sex because our society ( Pakistan ) is not that much open. Parent never talk to their children about sex and they are very easy victims of this kind of problems. So you better talk to your parents or try yourself to get some knowledge about it.
Now the harmful effects of masturbation are not just restricted to those physical problems that i have discussed. It also effects memory. It will also effect your social behavior because you would tend to be isolated and lonely. Eventually if you fall into all this problems there will be a new kind of world for you, which will not be a reality. Your world will be full of frustration. All you will think about is that you are not enough for a girl and you will never be married. I have been through all this and I do not want anyone to go in that direction. It is better to educate yourself about it.
Lastly if you masturbate do not think that you will get weak and lean ( slim). Infect you will look perfectly alright. You could get lean and weak if you have some other personnel problems that you are worried about. But bear in mind that masturbation alone will not make you lean and weak. And since you are in puberty which is the period you are full with energy, you will never notice these things. The best you can do is try to stop masturbation. This will be extremely good for you older life and for your sex life after marriage.
This question my not be important to every you if you have just attended puberty. But this is important in a sense that if you are aware of the facts you will be more caution in your future. Yes masturbation can be harmful to your health. Now when i say health, i am not discussing your health from the point of view that you will become meager and slim so that every one will guess you have masturbation. Infect you will appear pretty much ok. However internally you will ge getting weak. It also has diverse effect your memory.
If it is harmful to body, in which way it is harmful?
Due to excessive masturbation, your penis becomes weak. It starts to leak semen whenever you think of a girl. If you start copulating with a girl you will discharge so quickly that it will not be acceptable to the girl. You will not able to enjoy your sex life because you would not be able to hold yourself during sex. You will try to find some means so that you do not ejaculate. Mastrubation affects your penis size also. Your penis becomes narrow at the base. It becomes much softer. It looses its hardness. Its size diminishes and so does its erection. It is a great handicap for many men. The lower back of your body becomes weak also. You are not able to stand for a longer time. Your legs are weakened like wise. You feel pain in your legs, if you stand or play for a longer period of time. Your stamina is decreased.
Does masturbation has any effect on brain also?
Yes. Although not directly. It does affect your brain in one way or another. For example it decreases your memory power. You seem to forget things that you should remember. You become uncertain about many things. You can't remember dates and events exactly. You are not sure weather you have locked the door or not. You mind becomes a sort of uncertain. You think that you can not marry. It devastates your life.
Does masturbation has any other bad effect besides these?
Yes, the points I just mentioned is only the beginning. After you are inflicted with these problems, an problem starts: how to cope with this issue. You think that you are not enough for a girl ( you can not satisfy a girl sexually), you start to stay away from girls but it doesn't solve your problems because they are meant for you. You want to talk to a girl but you can't talk. You can't express yourself. You are coping with this issue only on your own, hoping that someday i will get fine and be able to marry happily. You think that even if you marry your wife will get divorce from you or she will not care about me because you will be no good to her. All these thinking in mind decreases your efficiency a gret deal. You are not able to concentrate on your studies as a result you do not get enough marks. You end going to a poor university. Your career is greatly affected. You are entangled in problem after problem while the actual problems remain steadfast on it's place.



HOPE MMEFAHAMU DARASA
 
wana jamvi leo nimeona hiyo mada japo kwa mtindo tofauti, pia nikaitafuta sana ktk archives sijafanikiwa, well ningeomba kuelewa madhara ya kupiga nyeto unajua hii inakuwa addiction yani sasa, naomba tuwe serious najua itakuwa imejadiliwa huko nyuma but nashindwa peruzi mapage yoote kwa msada wa wataalamu wapya pia humu ndani tutafaidi mengi natumai
 
athari zake nyingi lakini hasa
  • kutamani kupiga pull kila wakati kiasi unakuwa mtumwa
  • unakuwa anti-social
  • kujisikia aibu hasa unapozungumza na mtu wa op sex
  • ku-ejaculate haraka kabla ya kumfikisha mwenzi wako (chanzo cha kukuibia kwa mabwana wengine)
  • ni aina fulani ya ugonjwa wa akili; kuigiza katika mazingira halisi kana kwamba unalala na mwanamke kumbe porno, sabuni nk ( imagine unavyotoa macho!!!)
  • ongezea...!
 
wana jamvi leo nimeona hiyo mada japo kwa mtindo tofauti, pia nikaitafuta sana ktk archives sijafanikiwa, well ningeomba kuelewa madhara ya kupiga nyeto unajua hii inakuwa addiction yani sasa, naomba tuwe serious najua itakuwa imejadiliwa huko nyuma but nashindwa peruzi mapage yoote kwa msada wa wataalamu wapya pia humu ndani tutafaidi mengi natumai

ukioa unakuwa mume *****
 
--nguvu za kiume zinapungua (ingawa hili kuna watu wengi wanalipinga kwa mtazamo wao )
--ni utumwa pia,zaidi nayo jua mkuu minda kaelezea hapo juu
 
Nimekuwa nikipiga puli kw muda sasa na siku zinavyoenda naona raha inaongezeka na afya yangu inaboreka sina hamu na wanawake kabisa na sijawahi hata kuwatamani.
Naomba mniambie kama punyeto ina madhara yoyote na kama haina basi niendelee na niwashauri wenzangu wote humu tuiache ngono na tupige puli itapunguza ukimwi kwa asilimia nyingi
 
Nimekuwa nikipiga puli kw muda sasa na siku zinavyoenda naona raha inaongezeka na afya yangu inaboreka sina hamu na wanawake kabisa na sijawahi hata kuwatamani.
Naomba mniambie kama punyeto ina madhara yoyote na kama haina basi niendelee na niwashauri wenzangu wote humu tuiache ngono na tupige puli itapunguza ukimwi kwa asilimia nyingi

Naona shule zimefungwa
 
punyeto inamaliza nguvu za uume kwa maana ya kuua misuli yako achana nayo mara moja utajuta baadae
 
hivi hata wanawake wana njia mbadala ya kujiridhisha jamani
 
@ lady G tuwaulize nyie....but research has shown that below the age of 30yr >95% of women engage in some form of masturbation against 90% of men
 
Weye kijana nisikilize kwa makini. Acha huo mchezo mara moja, au la shauri yako; usijesema hatukukuonya. Punyeto mwisho wake mbaya. Kwa mfano: utaharibu konsentresheni yako na kuwa mtu wa kusahausahau kila wakati, vile vile kuwa mchovu kila mara halafu hutaweza kuhimili kukazana na mwanamke kwa muda mrefu. Hiyo ni mifano michache tu lakini madhara yake kisaikolojia usipime. Sisi wazee tungelijua hilo tusingelianza, sasa hivi tunajuta ati!!!!!

Acha, tena acha kabisa kupiga nyeto, yaani acha sasa hivi, na usirudie tena. Epukana na haya mabalaa ya kujitakia! Huu ni ushauri wa bure.
 
Iko poowa tu suala ni namna gani unaifanya hiyo kazi. KAAMUA 2.
 
Back
Top Bottom