Dawa ni wewe mwenyewe. Pumzika na hamisha mawazo yako yote katika hayo mambo. Ikibidi tafuta Bibilia au Kurani uwe uansali kila siku jioni kabla ya kulala.
Dawa ni kuacha/kupunguza kujihusisha na vitu vinavyopelekea wewe kuingia ktk hali hyo kama vile kuangalia filamu za ngono,dirty music videos etc,acha kabisa hyo kitu mkuu,utapungukiwa nguvu za kiume na mwishowe utagongewa shemeji yetu na kuhatarisha mahusiano yako na mpenzio,si unajua mkuu siku hc vijana wanasema 'mjini msingi viuno',sa we legalega ktk suala hilo uione dunia inakuonea
Dah! we mshikaji vitengo vyako huwa ni vya nguvu za kiume tu, kwani bado hujapata ile SHILAJIT uliyokuwa unaitafuta!?
Shida Na Tatizo Linaambatana Na Dalili Hizi...
-High Nerve Pain Hasa Mgongo ,Kifua Na Kiuno
-Kukosa Hamu Ya Sex
-Mwili Na Viungo Vyote Kukosa Nguvu
- Maumivu Ya Ubongo Hii Upelekea Ubongo Kuchoka Na Kusahau Haraka Sana
-Usingizi Mara Kwa Mara
-Macho Kukosa Uwezo Wa Kuona
Wakuu Msaada Kwani Utendaji Wa Kazi Na Shughuri Za Maendeleo Kwa Ujumla Zimesimama

Mkuu Tatizo Hili Linaigusa Jamii Kwa Uzito Mkubwa Sana
Msaada Wako Unaweza Kumfaa Ndugu Yako Leo Au Baadaye
Kama Una Suluhu Msaada Tafadhari
Taifa Linapoteza Nguvu Kazi!!
Wakuu Msaada Kwani Utendaji Wa Kazi Na Shughuri Za Maendeleo Kwa Ujumla Zimesimama
Mkuu Suala La Kuacha si Tatizo!
tatizo Ni Nini Tiba Ya Hizo Effect Hapo Juu?
Fanya kegel exercise na mazoezi ya kukata tumbo yaan itakusaidia sana na utapata hamu ya kusex maradufu,mm mwenzio nlikuwa hata dk cmalizi nmeshakojoa bt saiz first round 15 min had 30 min la pili yaan ndo shida nachelewa sana kumwaga(0762601090)kw maelezo ya ziada
Nenda kwa tabibu
Wewe unajua hospitali ilipo halafu unatuuliza sisi? Basi ushauri wangu ni wewe kuacha nyeto kwa muda mrefu kama miezi mitatu hivi kasha tafuta kabinti unakokapenda sana uwe unamalizia hisia zako utarudi kwenye afya yako.
MziziMkavu anahusika na hili karibu Dr MziziMkavu
Tafuta mtoto wa kike,piga kama mbili utarudi kuwa kawaida