Yaweza ikawa kama kituko fulan! lakin cyo siri kamchezo haka naona kameniingia damuni mpaka naona kero sasa na kila ninapofanya jitihada za kukiacha kitendo hki nashindwa kujicontrol tangu nilipokua O-level mpaka sasa nina umri wa miaka 22 nahitaj sana kuachana na kitendo hki lakin kwa mbinu nilizo zituia mm nashndwa lakin naamin kuanzia sasa ntafauru zoezi hili pindi ntakapo pewa elimu na mbinu za kuachana na kitendo ,,,,,I really hate it please my guys help me na km kuna mtu anaushaur wa kitaalam anisaidie pia