Pole mkuu naona umefunga ndoa na mkono
 

Nijuavyo Ukipiga PUNYETO Kwanza Kisha Ndipo UMGEGEDE MTU Lazima Arudishe CHENJI.....Kudadadeki!
 
Nijuavyo Ukipiga PUNYETO Kwanza Kisha Ndipo UMGEGEDE MTU Lazima Arudishe CHENJI.....Kudadadeki!

Acha uongo ww, gegedo litakuwa halina nguvu yake ya asili na utashuka kifuani baada ya muda mfupi sana, kuja kuendelea tena baadae sana
 
Mimi hata sikuulumu, mkuu maana hata mimi hako kamchezo nilikacheza sana,,
lakn ugojwa wangu mimi niliwahi kuushitaki mapema kwa watalam,
wakaniambia niaze mazoezi makali na ya nguvu.
 

Pole sana, kwanini usingekuja kupooza kwangu mie mpaka ujipige puchu kiasi hicho.
 
Acha uongo ww, gegedo litakuwa halina nguvu yake ya asili na utashuka kifuani baada ya muda mfupi sana, kuja kuendelea tena baadae sana

so kiongozi hili jambo linaweza kutibika kwa ambao wameshafikia hatua hiyo uliyoisema??
 
so kiongozi hili jambo linaweza kutibika kwa ambao wameshafikia hatua hiyo uliyoisema??

Hayo yanakua matatizo ya kisaikolojia, itabidi uache kupiga puchu huku ukijinasibu na kuwa na mchumba au mke kiasi ukimuhitaji utampata... na ufanye mazoezi kuijenga upya misuli yako itasaidia kukurejesha kufikiria kama zamani
 
Mi nshapiga sana kitambo mpaka nimekuja kupajua kwa wahaya buguruni ndo nikapunguza na sasa niko vizuri.
 
so kiongozi hili jambo linaweza kutibika kwa ambao wameshafikia hatua hiyo uliyoisema??

Hii kitu ni spiritual attacks. Na inatesa vijana wengi sana.(wa kiume/ kike) in short inaharibu system nzima ya maisha yako. Ukiwa mwanafunzi halafu ukawa msahaulifu kuna kufaulu tena, hauwezi ukakaa na kufikiri jambo la maana hata kidogo.
Kwa kuwa ni spiritual attack(mapepo, Kwa hali ya kawaida huwezi ukaanza kujitekenya mwenyewe na kuridhika) hakuna mtaalamu anayeweza kukusaidia na kuacha kabisa.
Nenda ukaombewe au angalia Emmanuel.tv frequently shida itaisha kabisa.
 
Pole sana kaka, mimi pia niliwahi kusoma katika makala moja kwenye gazeti siku nyingi sana ilieleza hivyo kwamba Punyeto pamoja na mambo mengine pia humfanya mtu kuwa msahaulifu. Nadhani hii kitu inaukweli wake. Wewe ni sample nzuri sana kwa mtu anayetaka kufanya utafiti.
 

Umetimiza wajibu wako. Na inaonesha kweli ulikuwa bright kwa namna tu ya uandishi wako ulivyo nikilinganisha na vijana wengi katika hili jukwaa na mitandao mingine pia. Sasa je, baada ya kubaini hivyo kuna juhudi zozote unazifanya kujitibu/kuacha?
 

Very true mkuu.
 

Asante kwa ushauri kiongozi lakini mimi sio mpigaji but nilitaka kujua tu. na vipi kwa wale ambao hawamuani huyo tb joshua mimi ni mmoja wao yaani siamini katika misingi ya kuombewa kabisa ntaanzaje kumpeleka mwanangu au mdogo wangu au mtu yoyote akaombewe?? bado sitaki kuamini kama haya ni mapepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…