mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 462
Fanya mazoezi achana na mawazo ya ngono
tafuta dem...
Kula 'legumes' athari za kauthirika zitatoka.
Tiba ya kwanza ni kuwa na mke/hawara ndani kwako..
Mm kila baada ya muda ninapiga punyeto hadi nimethirika kifikira sasa ni mazoea, friends, nifanyeje niondokane na utumwa huu?
tafuta dem...
Mkuu sasa hapa natatuaje so
Afadhali kuoa kuliko kuwa na hawala
Kivipi