Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mimi kila baada ya muda ninapiga punyeto hadi nimethirika kufikira sasa ni mazoea, friends nifanyeje niondokane na utumwa huu?
 
Tamka kwa kinywa chako kuwa Yesu Kristo nisaidie kuachana na hii tabia! Soma hapa chini!

ANDIKO MUHIMU

"Zikimbie tamaa zinazotukia ujanani, lakini fuatilia uadilifu, imani, upendo, amani, pamoja na wale wanaomwitia Bwana kutokana na moyo safi."-2 Timotheo 2:22.

PENDEKEZO

Sali kabla tamaa haijatia mizizi. Mwombe Yehova Mungu akupe "nguvu zinazopita zile za kawaida" ili ukabiliane na kishawishi.-2 Wakorintho 4:7.

HERI WENYE MOYO SAFI MAANA HAPO WATAMUONA MUNGU!!
 
Pole sana mkuu..jitahidi kujichanganya na watu usipende kukaa pekee yako, pia kama unatabia ya kuangalia picha za ngono acha.
 
Back
Top Bottom