Punyeto ni nini na nini madhara yake?
mtoto mpole

punyeto haina madhari ila kuna kasumba nyingi tu hasa kwa waafrika. moja ya faida ni STDs free(hakuna magojwa ya zinaa), kupunguza msongo wa mawazo, inasaidia kujua sehemu zenye msisimko zaidi ktk mwili wako so enjoy self service michepuko sio dili
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa sijui kama kuna wanawake wanachama Wa chaputa.

Tupo wengiiii sana yaan wengi na ni tatizo. Hii inaonyesha kufail kwa wanaume katika kumfikisha mwanamke au mwanaume kujifanya busy busy, kumbe ana michepuko million inamchosha. Wengi hasa wenye ndoa ambao hawataki kuchepuka ni wanachama...
 
Go girl, do whatever makes you Happy... you are the only one responsible for it.
 
Thank youuuu..

ila kwanini usimuelekeze mpenzi wako akusugue kama unavyojisugua
utapata raha 100×
mshike kidole mwambie fanya hivi mnongoneze sikioz mulekeze
hiyo ni kazi yake bana
usiipeleke ndoa kimazoea

hiii inatakiwa ifanywe na wapenzi wanaokaa mbalimbali au kama mmoja kasafiri

you need to talk
mwambie unachotaka kifanyike my dear
 
mtoto mpole

mbona avatar yako inaonyesha wewe ni mzoefu wa hio mambo??
 
Last edited by a moderator:
Tupo wengiiii sana yaan wengi na ni tatizo. Hii inaonyesha kufail kwa wanaume katika kumfikisha mwanamke au mwanaume kujifanya busy busy, kumbe ana michepuko million inamchosha. Wengi hasa wenye ndoa ambao hawataki kuchepuka ni wanachama.

Dah kuna watu hawawatendei haki kabisa wake zao, yaani mpaka mke anapata tabu huku kwenye mitandao ya kijamii.
Vp ushawahi kukaa chini na mwenzio na kuongea naye kuhusu hili swala?
 
Dah kuna watu hawawatendei haki kabisa wake zao yaani mpaka mke anapata tabu huku kwenye mitandao ya kijamii. Vp ushawahi kukaa chini na mwenzio na kuongea naye kuhusu hili swala?

Amwambie nini wakati anaweza kujiridhisha mwenyewe? Pia kuepuka magonjwa, tena kuepuka msongo wa mawazo, tena kuepuka kupanuliwa, lakini tena kuepuka idadi ya kuwavulia watu tofauti. I think its gud if u know how to do it. Go on gal
 
Madhara yake ni kuwa hutaolewa maana mwenyewe unajitosheleza. Na hata ukiwa ndani ya Ndoa, iko siku utaachana kwa madai mumeo hakuridhishi. Wacha hiyo mambo unafanya, wanaume wapo bhana.
 
Back
Top Bottom