mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Nilikuwa sijui kama kuna wanawake wanachama Wa chaputa.
haina madhara kabisa
na ni salama kwa afya yako.....
Thank youuuu..
Thank youuuu..
Tupo wengiiii sana yaan wengi na ni tatizo. Hii inaonyesha kufail kwa wanaume katika kumfikisha mwanamke au mwanaume kujifanya busy busy, kumbe ana michepuko million inamchosha. Wengi hasa wenye ndoa ambao hawataki kuchepuka ni wanachama.
Avatar inaeleza kila kitu. Raha jipe mwenyewe.
Dah kuna watu hawawatendei haki kabisa wake zao yaani mpaka mke anapata tabu huku kwenye mitandao ya kijamii. Vp ushawahi kukaa chini na mwenzio na kuongea naye kuhusu hili swala?