Sielewi nini hiyo kitu

Wameiunganisha post yangu hapa na katika kufanya hivyo sijui wameacha picha ambayo ndiyo hasa ilikuwa inabeba ujumbe mzima. Matokeo yake post yote imekosa mantiki kabisa. Anyway, just ignore the whole thing...
 
Heshima kwenu wakuu,

Nimekuwa msomaji tu wa nyuzi za watu ila leo nipo mbele yenu humu kuwaelezea kinaga ubaga jinsi upigaji wa punyeto ulivyoniletea side effects.

Awali ya yote ningependa kuelezea faida nilizozipata kutokana na upigaji wa punyeto. Nilianza kupiga punyeto nikiwa kidato cha kwanza shule fulani ya wavulana iliyopo huko Moshi. Niliendelea na mchezo huu kwa wakati wote nilipokuwa O level, Advanced level hata nilipoingia chuo kikuu UDSM niliendelea na mchezo huu.

Faida kubwa nilizozipata kutokana na upigaji punyeto kwanza sikuwa nikitumia gharama katika kuhonga wanawake wazuri. Kwangu wao walikuwa kama ukoma na pia Iliniepusha na magonjwa ya zinaa. Hizo ni faida chache ambazo nahisi nilizipata kutokana na mapunyeto.

Sasa lengo la kuanzisha uzi huu ni kuwaelezea madhara makubwa niliyopata kutokana na punyeto. Kwanza kwa kiasi kikubwa punyeto ilinifanya niwe na low concentration katika mambo yangu haswa masomo. Nilikuwa nikitumia nguvu nyingi na muda mwingi kuelewa kitu kidogo tu.

Imenifanya nisiwe na kumbukumbu za kutosha (hii nimeithibitisha kutokana na kwamba wakati nipo primary school nilikuwa ni mtu mwenye kumbukumbu haswa na sikua msahaulifu kama nilivyo sasa). Maumivu ya mgongo mara kwa mara na maumivu haswa kwenye joint za miguu (magotini).

Pia punyeto ilinifanya nisiwe na confidence mbele ya wanawake nilikuwa nikiwaona tu mimi nageuza njia siwezi kupishana nao (classmates wangu chuo), sikuwa naweza kuongea chochote mbele ya mwanamke.

Hivi sasa nimeoa na nina watoto wawili, first born 3 yrs na second one ana miezi sita. huyu mke nimempata kizali zali tu. Niwe wazi ni kwamba yeye ndie alienipenda na kunishawishi tuingie katika maisha ya ndoa na ndie mwanamke wangu wa kwanza kufanya nae tendo la ndoa tangu nibalehe.

Matatizo nayoyapata ndani ya ndoa ni kwamba bila kutumia konyagi or any Vodka drink nitapiga bao moja tu nalo si zaidi ya dakika kumi niko hoi na siwezi rudia tena na vile vile sehemu zangu za siri zinakuwa very weak. Mke wangu hajui tatizo langu na hajui kuwa huwa natumia hvyo vinywaji before mechi. Amekua akinisifia kuwa ninamfikisha katika satisfactory peak. But inside me i fill very guilty.

Wanabodi lengo langu ni kuwaasa wale waliozoea hii mambo ni vema ukajitahidi kuacha, japo ni vigumu lakini kama umezoea nakuasa ni bora uachane nayo wengi wetu tumekuwa tukijipa moyo kuwa hakuna madhara yoyote ila ukweli ni kwamba madhara yapo. Wewe subiri yakufike kama mimi ndio utaona jinsi utakavyopata mfadhaiko.

Punyeto nimepiga kwa muda kama miaka kumi na nne na niliacha punyeto baada ya kuingia katika ndoa na huu ni mwaka wa tatu. Ila madhara yananiandama mpaka sasa.

Pia naombeni ushauri ni jinsi gani nitarudi kuwa na nguvu zangu za asili kama awali.

Poleni sana kwa uzi huu mrefu.

Wasalaam.
 
Wakuu hilo tatzo nami pia nilikua nalo,,na nlikua napenda punyeto haswaa,kwa cku napga zaid ya mara3 kw siku,nkaanza kuona madhara wakat nasex,yn ndan ya dakk 3-5 nakua nshamaliza yaan liwe goli la kwnza,la2 au la3,ndan ya dakk20 nakua cwez tena kuendlea na nguv kuniishia...nkaanza kutafta tiba ndipo nkajivunza baadh ya mazoez ya kurudsha nguv ya misuli
 
Huu bado haujawa utafiti kabisa na hauwezi ukatumia sababu madhara uliyoyaanisha(problems) kama ushahidi ni madhara uliyoyaona kwako tu kwa kuamini yamesababishwa na hiyo punyeto (this is not scientific hypothesis)

Sababu uliyotoa ya kuwa siku hiz mgumu kuelewa na msahaulifu sana tofauti na ulivyokuwa primary bado ni dhaifu sana ambayo haiwezi kuleta mantic kwa GT

Umesema huyo mke wako ndio mwanamke wako wa kwanza kufanya nae mapenzi baada ya kuacha nyeto sasa wewe umejuaje kama umeshuka kiwango ikiwa kabla ya hapo ujawai kufanya ngono coz technically kiasilia watu wengine goli moja tu ndio uwezo wao

Unazidi kunipa mashaka pale unaposema hauchezi gemu vizuri mpaka unye viroba hapa sioni uhusiano na punyeto sababu pombe (alcohol) siku zote inahamsha nyege pamoja na kuufanya mwili kufanya kazi kuliko kawaida yake kwenye 6×6 walevi watanisaidia hapa

Mie napinga sana upigaji punyeto kwa sasa ingawa nilikuwa mwanachama miaka hiyo ya uteenager na hapa nimekupinga sababu zako coz hazijakaa kisayansi hata kidogo..

TUPIGE VITA PUNYETO COZ SIO TENDO LA ASILI
 
Upigaji punyeto ni sawa na ulevi Wa gongo,viroba,uvutaji unga,bangi nk.Hapa inahitajika elimu kwa sasa toka vyombo husika,maana hili jambo limeshika kasi sana miaka hii na ndiyo maana mada za punyeto ni nyingi sana kwenye mitandao,ni wakati sasa kwa wataalam wa magonjwa ya akili kuja upande huu kusaidia.
 
Ha ha ha ha ha...Tatizo lako linaweza kuwa na chanzo kingine kwa hiyo usi attribute moja kwa moja chanzo ni punyeto...hapo inabidi uangalie ulaji wako na UMESEMA MWENYEWE BILA VIROBA NA KONYAGI hufanyi mambo ni wazi ww ni alcoholic vitu ambavyo huwa vinapunguza libido ...in nutshell angalia mfumo mzima wa maisha yako
 

Hee,kuna mazoezi ya kurudisha nguvu za kiume,yakoje hayo
 

Good analysis. Lakini ninaamini udhaifu wangu wote huu umetokana na upigaji punyeto. Rather ningekuwa vizuri tu. Vilevile me sio mlevi ila hutumia vodka, konyagi and the likes pale ninapokua na mechi tu. Vilevile nisingekua mpigaji punyeto naamini peni** ingekuwa strong and firm ila ipo dhaifu dhaifu tu!

Punyeto Ain't good na ni kweli hakuna scientific proof but i believe anything which is outa nature has got so many effects. Those which i expirince now.
 
Km kuna m2 ameathriwa zaid na punyeto anitafte nimpe dawa itakayomfanya awe strong kwa muda wa cku kadhaa6a. tuwasiliane kwa namba 0712389866
 

Na kuna watu wanamatatizo ya nguvu za kiume ila hawajawahi kupiga hy punyeto.. sometimes we believe what we want to believe

Fyi.. napinga punyeto kwa watu wazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…